Sharobaro aonekana mitaa ya Mwenge Stand

Sharobaro aonekana mitaa ya Mwenge Stand

ukoto

Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
20
Reaction score
3
ImageUploadedByJamiiForums1423838580.170494.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1423838608.128815.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1423838642.239007.jpg
 
Huyu jamaa nishawai kumuona, ana mikogo ya hatari.. Hapo atatembea kwa miguu kutoka mwenge mpaka sinza barabarani watu watamshangilia kichizi.. .
 
hapo anatafuta fursa..

amweshausoma mchezo..

kwani nani atamami kulamba mapesa kama kina diamond..

sasa hivi kuna tv itajichanganya kumpa kipindi..

after few months tunamuona kwenye matangazo mara huyoo anatembelea prado na anajenga mbezi..

maisha mipango tu. kina sisi na degree zetu tunazunguka na bahasha tu
 
Huyu mshikaji anamikogo hatari..maskani yake ni pale Sinza makaburini..
 
Huyu mwisho wa siku atakuja kuwa bwabwa
 
Ngoja niwahi hapo mlima moto

Kuna Wa Kila Aina Mkuu Na Siku Hizi Mlima Moto Kawe Ndiyo Mpango Mzima Kwa Wazee Wa Slope. Ni Jirani Kabisa Na Hapo Mti Pesa Kawe Ukwamani Panatazamana Na ATM Hiyo Ya NMB. Kazi Kwako / Kwenu.
 
Hilo jina ulilojipa halikubaliki kisheria!! utoko ????????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom