Sharobaro aonekana mitaa ya Mwenge Stand

Sharobaro aonekana mitaa ya Mwenge Stand

Dog to bite a man is not a story,
man to bite a dog is a story.

ukoto, What is so special kwa huyo sharo hadi atengenezewe thread?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo baa inaitwa Mlima Pub na sio Mlima wa Moto.
Hatareeeee...mkuu unakunywa bia huku toto linakuzungushia mzigo mbele yako kufuatisha mdundo wa muziki.

Acha Ubishi Mkuu Hiyo Baa Hapo Kawe Nzima Inasifika Na Kujulikana Kwa Jina Hilo La Mlima Wa Moto Na Wanajeshi Wengi Wa JWTZ Ndiyo Wateja Wakubwa Wa Hapo Huku Wakijiliwaza Na Yaliyowakuta Amboni Tanga.
 
Ni kweli mkuu wamezoea kuiita hivyo lakini pale nje bango linasomeka Mlima Pub. Ijumaa nitakwenda tena, nitapiga picha bango lake pale nyuma ya kijana muuza chipsi halafu nikutumie.
 
Ni kweli mkuu wamezoea kuiita hivyo lakini pale nje bango linasomeka Mlima Pub. Ijumaa nitakwenda tena, nitapiga picha bango lake pale nyuma ya kijana muuza chipsi halafu nikutumie.

Powa Kijana Ila Si Utapiga Na Show Angalau Moja Na Huyo Mnyiramba Lilian Mwenye Macho Ya Uwizi Na Wowowo La Uhakika? Msalimie!
 
Powa Kijana Ila Si Utapiga Na Show Angalau Moja Na Huyo Mnyiramba Lilian Mwenye Macho Ya Uwizi Na Wowowo La Uhakika? Msalimie!
Hahahaaaaaaaa....mkuu umeshawekeza kabisa? Anyway salamu zimefika lakini akiniuliza jina la sender...
 
Nasikia kazi yake ni mlinzi ni kweli?

Mkuu juzi nilimuona mitaa ya mbezi beach anavuta mkokoteni umejaa mchanga nilishangaa sana aisee maana jamaa nilijua ni mlaini mno lkn aisee ile yote ni kujifanyisha mkuu inawezekana kabisa ni mlinzi maana namuonaga sinza mchana
 
hapo anatafuta fursa..

amweshausoma mchezo..

kwani nani atamami kulamba mapesa kama kina diamond..

sasa hivi kuna tv itajichanganya kumpa kipindi..

after few months tunamuona kwenye matangazo mara huyoo anatembelea prado na anajenga mbezi..

maisha mipango tu. kina sisi na degree zetu tunazunguka na bahasha tu
Kweli huyu jamaa alikuwa akisaka fursa.Leo nimemwona kwenye tangazo la airTel kaanza kula shavu hahahahah
 
imageuploadedbyjamiiforums1423838580-170494-jpg.226655
 
Back
Top Bottom