Sharobaro anampigia demu wake

Sharobaro anampigia demu wake

Husninyo

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
24,252
Reaction score
10,497
Sharobaro amepata mchuchu mpya. Siku hiyo usiku akampigia simu:
sharobaro: hellow.
Demu:hellow darling
sharobaro: are you eyes?
Demu: what?
Sharobaro: are you eyes this time?
Demu: whaaat?

Jamani kumbe sharobaro alikuwa anamaanisha upo macho?
 
Sharobaro baby,mdomo hauna lips shine lakini unalambwa!!!
 
Who is sharobaro guys? wengine tumechomoka Tz kitambo lugha ishapanuka..
 
Au uliondoka kitambo kile cha viatu vya 'LA KUCHUMPA' wakati huo walikuwa wanaita Cheki Bob kwa akina kaka na kishitobe kwa akina dada!! Zamani was so funny jamani!
 
Duhh! kweli kiswahili kinapanuka na nimejifunza kitu mwaka 2011 already!
 
Au uliondoka kitambo kile cha viatu vya 'LA KUCHUMPA' wakati huo walikuwa wanaita Cheki Bob kwa akina kaka na kishitobe kwa akina dada!! Zamani was so funny jamani!

siku hizi kishitobe ni makalio.
 
sharobaro ni m2 mwny mapozi ata ya bata hayaoni ndani,anapaka carolite,anapiga lipshine na anatembea kimapozi kwa sana lakini wngne unakuta wamecharara.
 
Back
Top Bottom