Share your break-up experience here for others to learn

Duuh! aisee kama una roho ndogo unaweza ukajitundika... Ila ingekuwa Mimi ningemfanya kitu kibaya huwezi kucheza na feelings zangu namna hii pole sana Bro
 
kiukweli nnaeza kusema sijawah kubreak up na msichana
sijui kwa nn bt relation zangu zote wasichana wanakua wamefall deep halafu mm mwenyewe nna ka udhaifu flan
mara moja tu ndo nilijarbu kubreak up na msichana nikamchana tuachane dah yule dada alimwaga chozi aisee ikabd mm ndo nimwombe msamaha yaishe

so nnachoamua ni kukata mawasiliano ghafla sijibu txt wala sipokei sim

hii style pia naipenda coz nikijikutaga nimemiss ex wangu kumuomba mchezo haiwi ngumu nikimtafuta atanilalamikia sikumtafuta ntapangua hoja then anaitwa gheto kuja kukumbushiana

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Duuh! aisee kama una roho ndogo unaweza ukajitundika... Ila ingekuwa Mimi ningemfanya kitu kibaya huwezi kucheza na feelings zangu namna hii pole sana Bro

Thanks bro,..
 
Mine ilikua worse nlichukua mda sana kua sawa

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Can you tell us atleast kidogo tu?
Tunahitaji kujifunza kupitia wengine,
 
Hahahahah Kumbe bahati zinakuja ila unazikataa mwenyewe alafu unasema unagundu?
 
Sitaki hata kukumbuka ila ni huyu demu anayesemekana ana mimba ya diamond....!!

Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
 
Mario
 
Sitaki hata kukumbuka ila ni huyu demu anayesemekana ana mimba ya diamond....!!

Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Kwahiyo kumbe ile mimba siyo ya Yule demu, ni mimba yako???
 
Dah ..mkuu sijui nikupe pole ama nini ...
ndio mana sishangai mdau mmoja humu naona aliumizwa sana na comments zake mara nyingi anasema ana wish huyo aliemuumiza afe akiwa macho wazi.


Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
 
Kwa mwanamke punguani lakini sio anaejielewa

Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
 
Hahahahah Kumbe bahati zinakuja ila unazikataa mwenyewe alafu unasema unagundu?
Hilo nililolisema ni limoja tu.kuna mengi nilikuwa nayaona yamekaa kifakefake nikasema ngoja nimuambie hili ambalo ni kutokuwa na kazi akinivumilia basi niliwaza vibaya.

Loh kumwambia hivyo tu mawasiliano yakakatika bila taarifa

Ngoja nikwambie,kama mtu kakupenda kwa dhati,ushamba,uchafu,kutokuwa na kazi,na mengine yenye kuvumilika atayaona ni ya kawaida sana..atakuangalia wewe na namna ya kukutoa huko uliko.

Sasa huyu nilimwambia sina kazi vipi nipo nae halafu naumwa na kazin siendi atasimama na mimi kwa kipindi kirefu??

Mwenye mapenzi ya dhati yupo tu na kama ilipangwa kuwa na mtu fulani basi nitakuwa nae tu iwe isiwe
 
then you deserve the best... Naona unalengo moja tu, na hii inanifanya nikutofautishe na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…