Jozee mkunaji
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 459
- 614
Pole sana Dada angu kipenz ila ipo siku yote yatapita na ukurasa mpya utafunguliwa juu yako cha msingi ni kuwa makini na moyo wako juu ya sisi viumbe wenye vichwa viwl.Mkuu mahusiano yangu yaliyopita huwa sipendi kabisa kuyaongelea kwa kuwa yameniachia jeraha na kunifanya kupoteza mapenzi kwa mwanaume.
Inshort moyo umeshakufa ganzi mazima.inaweza ikatokea mtu akiniambia ananipenda naona huyu nae hana kazi ya kufanya sijui...n ghafla naingia chuki juu yake.
Yani we acha tu.binafsi sipendi tabia za wengi wanawake japo sio wote.huwa najiulizaga sana kwani tukikaa bila kuwaongelea watu tutapungukiwa na maji mwilini??naomba ndimu mkuu.Pole nimejikuta nacheka tu, majirani wengine pasua kichwa sana, wanafuatilia sana maisha ya watu wanataka sana wajue kila mtu anavyoishi.
Asantee mkuu kwa maombi yako.naamini ipo siku japo sijui ni lini na nini huyo atakeweza kuubadilisha moyo wangu aiseehPole sana Dada angu kipenz ila ipo siku yote yatapita na ukurasa mpya utafunguliwa juu yako cha msingi ni kuwa makini na moyo wako juu ya sisi viumbe wenye vichwa viwl.
Kuna wa katika Unapaswa kutafakali kwa kina kuhusu mahusiano huku ukifikili Zaid juu ya uzur na ubaya wake. Naungana na wewe kuwa mapenzi ni mabaya hasa ukimpata mtu WA kucheza na hisia zako lakini siku ukimpata mtu akufute Machozi na kukubali mtazamo mpe nafasi lakini usimpe moyo hadi siku atakapo kubadili mtazamo kwa kukufanya usahau mapovu ya sabuni ya zaman hapo moyo wako utakuwa kwake automatically. Good lucky my Dada
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Hahahahahahaha...kwahiyo ukakimbia mke aiseeh we kiboko.Mahusiano ni kitu cha ajabu sana Kuna visa vingi juu yangu ila hiki cha kupewa Mke bila kutaka kilikuwa ni special case Namshukuru Mungu niliruka kiunzi na sasa maisha yanaendelea
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Mkuu samahani unaweza kuniungisha na binti wakizungu yoyote Maana sijui ladha Yao kabisa ...''STUNTER you're a liar, stay away from me''
Hiyo kauli aliitoa binti mmoja wa kijerumani kipindi jahazi la penzi letu linazama,
Ishu ilikuwa hivi wakati nipo Form three(day)
kuna mshkaji wangu mmoja anamiliki kampuni ya kutembeza watalii Arusha na maeneo ya pwani ya kihistoria,
sasa akawa kila akipata trip ya madem walokuja alone(pekeyao) basi anatupigia pande / anatuunganishia wale madem then tunaenjoy nao mpaka muda wao wa kusepa utakapofikia,
sasa katika kipindi hiko kama dem amekuchunuku unakuta unaneemeka mbaya mbovu,
basi bhana katika harakati hizo za ujana ndipo nilipokutana na huyu
binti wakuitwaga Lisa,
na nakumbuka aliniuliza kwamba nimeshawahi kudate na demu yeyote wa abroad mi nikamwambia hapana sijawahi na wewe ndio wakwanza,
Basi bhana yule demu alikuwa amekuja trip ya wiki tatu,
kwakweli penzi lake lilininogea sana mpaka shule nikawa siendi,
nilikuwa naaga shule kwamba naumwa so napewa permit, na nyumbani nilikuwa natunga uongo wa hovyohovyo basi tulikuwa tunasafiri mara kadhaa kwenye trip zake,
ila kitu kilichokuja kufanya mpaka akanichenchia ni pale alipokuja kuzikuta picha za mademu kadhaa wa kizungu ila zilizomuumiza zaidi ni zile picha za utupu nikiwa na demu Wa kipoland aliyeitwa Amelia,
Dah mwenyewe nilijiona mjanja nilizifuta picha zote kwenye galery lakini nikasahau kumbe nilikuwa nimezi sync kwenye Drive(online)
Ile kukamata simu yangu sijui ilikuwaje akaingia kule na ndipo aliponibadilikia na tangu hapo ndo nikaamini ule usemi kwamba wazungu huwa wanamisimamo sana, Akishasema No, ni No,
manake nilimuomba msamaha mpaka kwa kilugha cha kwetu lakini mtoto wakike aligoma .
Anyway.
Funzo nililolipata hapa ni kwamba Ni vyema kuambizana ukweli hasahasa kwenye mahusiano machanga/mapya,
Hatakama ukweli huo ni wa kuumiza kwasababu njia ya muongo ni fupi, watch it
Nimefurahi kwa kusoma maandishi yako yakiwa bado Yana hope kuwa ukimpata mtu sahihi na akajua unahitaji nn utaweza kubadilika na utakuwa mwanamke mwenye upendo kwa Mmeo na family yako.Asantee mkuu kwa maombi yako.naamini ipo siku japo sijui ni lini na nini huyo atakeweza kuubadilisha moyo wangu aiseeh
Mkuu asant aiseeh.siwezi kumwambia kuwa nikoje nitatoa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu mradi udhaifu wangu wa moyo simwambii.Nimefurahi kwa kusoma maandishi yako yakiwa bado Yana hope kuwa ukimpata mtu sahihi na akajua unahitaji nn utaweza kubadilika na utakuwa mwanamke mwenye upendo kwa Mmeo na family yako.
Kitu cha msingi ni kuwa makini sana katika selection kitu cha kwanza Hakikisha mwanaume hajui mapungufu yako then mpe mtihani wa kukubadili kutoka kwenye chumvi kuwa sugar kwa upendo asilia kutoka moyoni mwake akifanikiwa katika hilo na akawa ana kidhi vigezo vyako juwa umempata mtu sahihi then move on japo kuwa makini katika kila hatua unayo ikanyaga
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Thank you......Mkuu asant aiseeh.siwezi kumwambia kuwa nikoje nitatoa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu mradi udhaifu wangu wa moyo simwambii.
Mtu akinijia kisanii na mimi namwendea kisanii vilevile.life goes on
aseeehSijawachukia kabisa.ila moyo umekufa ganzi
Usiogope kuwa na rafiki mwanamke, hivi ninavyoandika niko na best friend mdada, huyu ni Single mother hawezi fanya kitu bila mimi, akiona niko free anakuja ofcn, nikiwa busy ananusa tu anaepa zake, she is so good, kuna mambo mengi ya maendeleo ananisaidia, tunashirikishana mengi, ameokoka anampenda yesu, ki kweli kweli sio mzushi.Yani we acha tu.binafsi sipendi tabia za wengi wanawake japo sio wote.huwa najiulizaga sana kwani tukikaa bila kuwaongelea watu tutapungukiwa na maji mwilini??naomba ndimu mkuu.
Itanichukua miaka kibao kama sio maisha yangu yote kuwa na bff mwanamke ukimtoa mama angu mzazi
Pole sana aisee,Mkuu mahusiano yangu yaliyopita huwa sipendi kabisa kuyaongelea kwa kuwa yameniachia jeraha na kunifanya kupoteza mapenzi kwa mwanaume.
Inshort moyo umeshakufa ganzi mazima.inaweza ikatokea mtu akiniambia ananipenda naona huyu nae hana kazi ya kufanya sijui...n ghafla naingia chuki juu yake.
Kwa sasa hapana mkuu.nina marafiki wengi wanaume kwahiyo naelewa ukimwambia kitu chako mwanaume ambae ni rafiki yako wa dhati jinsi anavyokichukulia na kukihifadhi moyon kuliko mwanamke.ingawa si wote.Usiogope kuwa na rafiki mwanamke, hivi ninavyoandika niko na best friend mdada, huyu ni Single mother hawezi fanya kitu bila mimi, akiona niko free anakuja ofcn, nikiwa busy ananusa tu anaepa zake, she is so good, kuna mambo mengi ya maendeleo ananisaidia, tunashirikishana mengi, ameokoka anampenda yesu, ki kweli kweli sio mzushi.
Hapana aiseeh hapa sitofunguka zaidi.naimani walioko humu wote wanapatikana club,kanisani,msikitini,barabarani,majumbani tunamoishi,bar...yani sehemu ni nyingi.Pole sana aisee,
hebu funguka huenda ukampata wa kufa na kuzikana hapahapa...!
Binadamu sio zombie mpaka amtafune mtu,Hapana aiseeh hapa sitofunguka zaidi.naimani walioko humu wote wanapatikana club,kanisani,msikitini,barabarani,majumbani tunamoishi,bar...yani sehemu ni nyingi.
Labda kama nataka kutafunwa na kuachwa.ingawa zaur wapo lkni ni wa chache mno humu ndani
Mkuu sijamanisha kuwa kumla binadam ila nimemaanisha kumega kisela.naimani utakuwa umeelewa.Binadamu sio zombie mpaka amtafune mtu,
Mimi nakuhakikishia huenda JF ikabadilisha historia ya maisha yako,
Wacha wenye nia waje PM then utakuja kumshukuru Mungu