Nisamehe aiseeh ila nilidhani ndie wewe uliyevuta.Ulidhani nimedanja au?
Pole sana,
ila unaweza kushea nasi japo mkasa mmoja, jitahidi mzee
Mkuu mahusiano yangu yaliyopita huwa sipendi kabisa kuyaongelea kwa kuwa yameniachia jeraha na kunifanya kupoteza mapenzi kwa mwanaume.Usijali mkuu, hiyo kawaida sana na sio makosa yako, wengi walifananisha.
Tupo pamoja aisee...
Haya bwaga mauzoefu yako kuhusu kumwagana na mwandani wako
Mkuu niko na hiyo tabia kama ya mzee wako aiseeh.Aisee bahati mbaya sina sauti ya kuimba, nakumbuka babu yangu alikuwa anapenda sana kuimba, Baba yangu pia alipenda kuimba sana siku alizokuwa na furaha aliimba sana, mimi sina sauti ya kuimba.
Pole aiseeh ndivyo ilivyo ili maisha yasongeDah hata sijui nisemeje ila ndo ivo mapenzi yanaumiza in short na atakae kutenda siku zote ni Yule usiemtegemea, kuna manzi nilimpenda hakukosa kitu kwangu sasa sijui yeye alikua anatafta nn kwangu,.. Nilimpigia simu siku moja akapokea mdau, akanambia yuko Nae gesti anamtafuna,.. Sikuamin nilimwambia anipigie badae hakupiga nikapiga Mimi baada ya nusu lisaa ivo, demu akanikana pale pale,.. Na mpaka kwao tulishajitambulisha, na nilikua nimempenda kweli,
Ndo ivo,..Pole aiseeh ndivyo ilivyo ili maisha yasonge
Watu mnaopenda kuimba mna bahati nzuri, inasaidia kuondoa stress, Pia unaburudisha moyo wako katika raha na kuondoa huzuni katika simamnzi.Mkuu niko na hiyo tabia kama ya mzee wako aiseeh.
Mwanaume mmoja kakufanya utuchukie wanaume dunia nzima?Mkuu mahusiano yangu yaliyopita huwa sipendi kabisa kuyaongelea kwa kuwa yameniachia jeraha na kunifanya kupoteza mapenzi kwa mwanaume.
Inshort moyo umeshakufa ganzi mazima.inaweza ikatokea mtu akiniambia ananipenda naona huyu nae hana kazi ya kufanya sijui...n ghafla naingia chuki juu yake.
Hiyo kitu inanisaidia kuliko kawaida.Watu mnaopenda kuimba mna bahati nzuri, inasaidia kuondoa stress, Pia unaburudisha moyo wako katika raha na kuondoa huzuni katika simamnzi.
Sijawachukia kabisa.ila moyo umekufa ganziMwanaume mmoja kakufanya utuchukie wanaume dunia nzima?
PouleKuna mtu kanifanya nisipende tena mpaka leo..8 2015 ms
Pole nimejikuta nacheka tu, majirani wengine pasua kichwa sana, wanafuatilia sana maisha ya watu wanataka sana wajue kila mtu anavyoishi.Nilitaman niwafute niwachane live lkn kwa hasira nilizokuwazo ninajijua tungeishia kubaya.
Hasira zote nikazikimbizia you tube nikakutana na wimbo wa Neema Mudosa ft Goodlucky Gozbet.nikauelewa bhana kilichofuata nikuhamishia kwenye mtambo wa sauti bana eee..sauti juu nikaurudia zaidi ya mara 15 natoka nje kila mtu kasambaratika kwake.
Hahahaha kesho yake eti mmoja wao nae nikamsikia kauweka nikaishia kucheka tu.
Kujiimbia imbia kumeniepusha na vingi.