share with us

Nimeipenda hii uzi jaman,
I real thx GOD they alivoniumba,
Hakika alitumia muda na ufundi wake wa kutosha kwan kila alichoniumbia ni chema,kizuri na chakuoendeza,
Sio siri najivunia kwa kila kiungo nilichoumbiwa mwilin mwangu,kwan amenipa vyote nilivyostahili na vinanifanya nipendeze na kuwa mrembo wakati wote.

Mwanakwetu, Mungu akupe nini kama sio gunia la chawa aisee! LOL!!
 
Jamani me mwenzenu nywele zangu,zipo natural hazina dawa wala chemical yoyote,ila ni laini sana na zaidi ni ndefu kweli kweli na nyingi mno na zina afya tele,ikumbukwe me mtanzania wa babu na mababu,ni mambo tu ya uumbaji wa MUNGU....:eyebrows:
 
Every single part of my body is adorable,i thank GOD for that. Iam proud kwa kweli....Otherwise,my eyes are mind blowing..!
Kama hayo hapo chini...:A S 465::A S 465:

..
 
Kha! Watu kwa kujifagilia, weka picha yako halisi ili tuyaone.
 
Jamani me mwenzenu nywele zangu,zipo natural hazina dawa wala chemical yoyote,ila ni laini sana na zaidi ni ndefu kweli kweli na nyingi mno na zina afya tele,ikumbukwe me mtanzania wa babu na mababu,ni mambo tu ya uumbaji wa MUNGU....:eyebrows:
mmh hongera mama, jivunie ulichonacho.
mawigi kwako hayana nafasi huh..... big up. mshukuru mungu daima.
 
Every single part of my body is adorable,i thank GOD for that. Iam proud kwa kweli....Otherwise,my eyes are mind blowing..!
Kama hayo hapo chini...:A S 465::A S 465:

..

hakika haya macho ni mazuriii hongera dada. macho yanaita haya mmh.
 
namshukuru Mungu kwa kuniumba vizuri, naupenda mwili wangu wote.
 
yani sina maneno ya kuelezea uumbaji wa mungu kwangu, mana kila nikijitazama kwenye kioo nasema kweli wew mungu ni mwema, na nikiweka swaga zangu basi ndo kabisa nanyanyua mikono juu kumshukuru mungu kwa hilo.
 
big up sister kwa kuumbwa vyema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom