Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,715
- 39,800
wadau kama hamtajali unaweza post eneo ulipo mtandao na speed unayopata ili kuwezesha watu kujua speed za mitandao mbali mbali sehemu tofauti.
Hii itasaidia mtu akitaka kuunga bundle ajue ipi ni best choice kwa eneo lake. Tumia link hio apo chini kujua speed yako.
cheki speed hapa
Hii itasaidia mtu akitaka kuunga bundle ajue ipi ni best choice kwa eneo lake. Tumia link hio apo chini kujua speed yako.
cheki speed hapa