Share nasi: Ulijisikiaje siku mpenzi wako unayempenda aliposema mimi na wewe basi?

Dah! Nilikosa kidogo sana kufa...
Na mpaka leo hii nimeshindwa kumtoa kwenye moyo wangu...maumivu yake hayaelezeki...amebadilisha maisha yangu, amenidhulumu sana.lakini sitaki kumrejea alinikosea vibaya sana.
 
Umenena kwa hisia sana, pole sana
 
Dah! Nilikosa kidogo sana kufa...
Na mpaka leo hii nimeshindwa kumtoa kwenye moyo wangu...maumivu yake hayaelezeki...amebadilisha maisha yangu, amenidhulumu sana.lakini sitaki kumrejea alinikosea vibaya sana.
Usiruhusu hali hiyo iendelee. Hatogawa maumivu yako rafikiyo, wala hatobeba machungu yako anaekupenda, wala hatokesha kwa mazito yako alie karibu nawe.
 
ha haha hahaaa haaaaa.
aisee mm niliona kizunguzungu ghafla baada ya kupokea txt toka kwa manzi baada ya mahusiano kudumu kwa muda wa wiki mbili tu.
mbaya zaidi kilichoniuma ni kwamba yule dem yeye ndio alijitongozesha kabla ya kuwa wapenzi mm sikuw na habar nae.
ila kiukwl ni mzur sana mpaka leo hii roho bado inaniuma
Pole mkuu
 
Niliona dunia imenipa kisogo.....nililia ndani wiki nzima, nilikonda nikawa kama mkaratusi nikatamani niende kuishi sehemu ambayo sitaonekana na mtu yoyte (kaburini) lakin baadae niligundua kumbe ilikuwa ni ubatili mtupu na kujilisha upepo
 
Usiruhusu hali hiyo iendelee. Hatogawa maumivu yako rafikiyo, wala hatobeba machungu yako anaekupenda, wala hatokesha kwa mazito yako alie karibu nawe.
Mmh! Umesema kweli mkuu , na mpaka kusema nimeshindwa ujue nimeshindwa na hakuna aliyeweza!
Sijui age yako kama inachukulia hili kwa uzito gani,lakini kama ingekuwa ni kichwani tu ..ningesha pona zamani ila moyo tatizo.
jitihada nyingi mpaka saidizi zimepita ,wapi!

Yasikise tu kwa umbali nakuombea Mungu yasikukaribie hata!
 
Sijawahi kuachwa kwakweli kwasababu naogopa sana maumivu ya kuachwa.
Nikianza kuona hakueleweki naanza kujitoa mdogo mdogo halafu nakupa tu taarifa kwamba mimi na wewe basi na ukitaka sababu nakupa.
Sisubiri kuachwa kwakweli na hata ikitokea nakupenda sana ukitaka kuniacha nitakubembeleza mpaka utanionea huruma na uhusiano utarudi ila huko mbele ntakayekuacha ni mimi mana hapo sitakuwa na maumivu tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom