Share holding structure ya MIC aka tiGO

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Jamani nataka kufahamu share holding structure ya MIC au tiGO na Je ina comform na sheria yetu ya Mawasiliano yaani 35% lazima wawe ni local share holders?
 
Vodacom na Zain mapato yanapungua nini na mmeanza kutafuta mchawi. Punguzeni gharama za mawasiliano acheni longolongo.
 
Vodacom na Zain mapato yanapungua nini na mmeanza kutafuta mchawi. Punguzeni gharama za mawasiliano acheni longolongo.

Kaka/Dada mimi siko Vodacom wala Zain labda kama wewe uko tiGO, nimeuliza hivi kwa sababu Sheria ya nchi inasema shareholdings ni lazima ziwe atleast 35% local! Changia hoja kama huna lakusema kaa kimya au kuwa Msomaji
 
Nenda BRELA pale jengo la Ushirika 4th floor mtaa wa Lumumba.,mbona hizo Memorandum na Articles of Association ni Public Documents.,nenda tu kalipie ku-peruse file na maswali yako mengi yatapata majibu ya uhakika kuliko unayoweza kupata hapa jamvini..cha muhimu ujue Company registrarion number ya hao tiGO tu.
 
Mkuu Ndege ya Uchumi

Nadhani taarifa hii ni sahihi: (kutoka wikipedia)


Initailly Serikali ilikuwa na mkono kupitia shirika la Posta na Simu, lakini baada ya kutenganisha hilo shirika ule ubia "ukafa kifo cha asilia" - sijui ni kifisadi au la? lakini as of now tiGO inamilikiwa asilimia mia na "mwekezaji"
 
Du! Waheshimiwa sheria itaanza kutekelezwa miaka mitatu ijayo... haya endeleeni kujadili!
 

Asante sana Baba Enock maana nakumbuka local share holders wa Voda walitaka kuuza share zao zote lakini Serikali kupitia TCRA ikakataa kwa maana wangekuwa wanavunja sheria hiyo sasa nikaona niulizie kulikoni tiGO mwekezaji amefanikiwa kuruka hiki kiunzi ambacho vodacom kiliwashinda. But asante kwa kunipa mwanga.
 
Mkuu Kasheshe sijampata vizuri,

Kwa maana:-
TCRA became operational on 1 st November, 2003 and has effectively taken over the functions of the two defunct commissions.

Na

MIC alinunua share zote in February 2006.

Kwa hiyo nadhani ni kuna utaratibu ulikwepeshwa au ulirukwa au ulifanyika otherwise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…