SHARE HOLDING STRUCTURE YA MIC aka tiGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHARE HOLDING STRUCTURE YA MIC aka tiGO

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Albedo, Feb 15, 2010.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,565
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani nataka kufahamu share holding structure ya MIC au tiGO na je ina comform na sheria yetu ya Mawasiliano yaani 35% lazima wawe ni local share holders?
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Vodacom na Zain mapato yanapungua nini na mmeanza kutafuta mchawi. Punguzeni gharama za mawasiliano acheni longolongo.
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,565
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kaka/Dada mimi siko Vodacom wala Zain labda kama wewe uko tiGO, nimeuliza hivi kwa sababu Sheria ya nchi inasema shareholdings ni lazima ziwe atleast 35% local! Changia hoja kama huna lakusema kaa kimya au kuwa Msomaji
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,565
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nenda BRELA pale jengo la Ushirika 4th floor mtaa wa Lumumba.,mbona hizo Memorandum na Articles of Association ni Public Documents.,nenda tu kalipie ku-peruse file na maswali yako mengi yatapata majibu ya uhakika kuliko unayoweza kupata hapa jamvini..cha muhimu ujue Company registrarion number ya hao tiGO tu.
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  Mkuu Ndege ya Uchumi

  Nadhani taarifa hii ni sahihi: (kutoka wikipedia)

  Initailly Serikali ilikuwa na mkono kupitia shirika la Posta na Simu, lakini baada ya kutenganisha hilo shirika ule ubia "ukafa kifo cha asilia" - sijui ni kifisadi au la? lakini as of now tiGO inamilikiwa asilimia mia na "mwekezaji"
   
 7. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,699
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Du!, waheshimiwa sheria itaanza kutekelezwa miaka mitatu ijayo... haya endeleeni kujadili!
   
 8. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,565
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asante sana Baba Enock maana nakumbuka local share holders wa Voda walitaka kuuza share zao zote lakini Serikali kupitia TCRA ikakataa kwa maana wangekuwa wanavunja sheria hiyo sasa nikaona niulizie kulikoni tiGO mwekezaji amefanikiwa kuruka hichi kuinzi ambacho vodacom kiliwashinda. But asante kwa kunipa mwanga
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,565
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sheria ipi mkuu Kasheshe?
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  Mkuu Kasheshe sijampata vizuri,

  Kwa maana:-
  Na

  Kwa hiyo nadhani ni kuna utaratibu ulikwepeshwa au ulirukwa au ulifanyika otherwise!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...