2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,630
noma sana..siku ya wapendao nimekuta wife anakunywa Coke baridi imeandikwa " ILove You"Unywe.....ukimaliza tuje hili la Tigo......kuwekana kwenye grp za whatsapp kiduanzi.......
noma sana..siku ya wapendao nimekuta wife anakunywa Coke baridi imeandikwa " ILove You"Unywe.....ukimaliza tuje hili la Tigo......kuwekana kwenye grp za whatsapp kiduanzi.......
Msichukulie kila kitu serious wakuu
Ile ya coka kuweka majina na ujumbe kwenye zile chupa ilikua ni best marketing strategic eveeer
Tangazo si maisha soko huria la ushindani sijaona kudhalilishwa kwa aina yote maana mimi sio tangazo na tangazo haliwezi kua mimi
Una uhakika wa kuwa sisi ni "Wanabodi" kama ulivyotuita?Habari za muda huu wanabodi.
Hili Tangzo la Coke linashusha utu wa mwanaume na ni thihaka kwa mwanaume.... Mwanaume hazumzi kwa vitendo.. Mwanaume haogopi kueleza hisia zake.
Mfano:
1. Lile tangazo la Jamaa anataka kudansi na mwanamke... Anatumia Coke ili kufikisha ujumbe... Hii ni dharau kwa wanaume
2. Lingine ni lile jamaa wamezinguana na mwanamke.. Anaamua kutumia Coke ili kufikisha ujumbe... Hii ni kuonyesha kuwa wanaume hatuna uwezo wa kuongea....
Tuungane kukemea huu udhalilishaji wa mwanaume
Mzee!
Wanaume kama mabinti...Siku hizi hakuna watu wanaojua kutongoza
Wewe Mzee haya ya vijana yanakuhusu nini? Hivi mpaka sasa hivi hujajua kama vijana wa kileo ni midomo zege? "Anyways have nice lunch" kijana kamaliza hapo!Habari za muda huu wanabodi.
Hili Tangzo la Coke linashusha utu wa mwanaume na ni thihaka kwa mwanaume.... Mwanaume hazumzi kwa vitendo.. Mwanaume haogopi kueleza hisia zake.
Mfano:
1. Lile tangazo la Jamaa anataka kudansi na mwanamke... Anatumia Coke ili kufikisha ujumbe... Hii ni dharau kwa wanaume
2. Lingine ni lile jamaa wamezinguana na mwanamke.. Anaamua kutumia Coke ili kufikisha ujumbe... Hii ni kuonyesha kuwa wanaume hatuna uwezo wa kuongea....
Tuungane kukemea huu udhalilishaji wa mwanaume
Mzee!
Wewe Mzee haya ya vijana yanakuhusu nini? Hivi mpaka sasa hivi hujajua kama vijana wa kileo ni midomo zege? "Anyways have nice lunch" kijana kamaliza hapo!
umenikumbusha mashindano ya kombe la dunia mwaka 98 kama sikosei kulikuwa na mchezaji wa timu ya west afrika anaitwa mboo na uwanja mmojawapo uliokuwa ukitumika kwa mashindano hayo huko japan ukawa unaitwa kum...moto. Sasa gazeti moja la michezo hapa nchini likaja na kichwa cha habari mboo ndani ya kum...moto leo hii!