Nakwambia wanaume wa kweli wamepungua...wanaume hawawezi kufanya kazi za kutumia nguvu, wanapenda kulelewa, mashoga ndo usiseme, dyudyu inainuka kwa kupepelea na ikiinuka asipowahi hichooo dorooo. Duuu Mungu kinusuru kizazi cha wanaumeHawa jamaa ina maana wataka kuonyesha ule Ujasiri na ukakamavu wa Mwanaume siku hizi haupo tenan
Nakwambia wanaume wa kweli wamepungua...wanaume hawawezi kufanya kazi za kutumia nguvu, wanapenda kulelewa, mashoga ndo usiseme, dyudyu inainuka kwa kupepelea na ikiinuka asipowahi hichooo dorooo. Duuu Mungu kinusuru kizazi cha wanaume
Picha haifunguki.
Anipe Coke ya nini??