sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Hakika ni shangwe iliyojaafuraha kwa upande wa Palestina huko Gaza, Kinachosherekewa hapa ni "Thanks to God, some of us are still alive"
Wananchi wa Gaza waliishi kwa hofu sana maana kifo kilikuwa nje nje pale maisha yao yalipofanywa kuwa ngao, Hamas waligeuza mitaa na nyumba zenye raia wema kuwa sehemu za kufyatulia makombora, kutunza silaha, kuchimba mahandaki, n.k
Ushahidi upo wa kutosha kwamba misikiri, hospitali, shule za watoto, n.k ziliheuzwa kuwa sehemu za mahandaki yaliyotumika kufichia silaha, Israel ili kulinda raia wake ilipokuwa ikizijua hizo sehemu ilikuwa inazitandika ila kwa hesabu za hali ya juu na kutoa tahadhari mapema ili kujaribu kwa kiasi kikbwa kunusuru maisha ya raia wema.
Ni furaha tele kwa upande wa Palestina maana wao hawana mitambo kama ya Israel ambayo hukabiliana na makombora yanayotoka Gaza juu kwa juu, Katika kila makombora 10 bas 9 hudakwa na huo mtambo (Iron Dome) Hii ilipelekea Hamas kurusha Makombora zaidi ya elf 4, Sipati picha bila huu mtambo hali ingekuwaje.
Mbali na mtambo huo Palestina hawakuwa na hifadhi za kukimbilia kukwepa madhara ya mabmu kama walizokimbilia israel.
Hakika ni shangwe kwa upande wa Palestina maana kifo kilikuwa nje nje.
iKUMBUKWE KUWA ALIEKUWA ANAPIGANA VITA NI HAMAS, ISRAEL ALIKUWA ANATULIZA GHASIA