Shangingi la Mbowe....

Hawa ndio watoto wa wakulima halisi, siyo mzee wa rukwa anajiita mtoto wa mkulima na msafara wa magari more than 50.
 
Huu ni ujasiri, kiongozi lazima uonyeshe mfano kama huu, big up mbowe ila kataaa na vingine vya kuwakandamiza wananchi.
 
Bora amerudisha gari letu. Hakustahili kupewa, nadhani ametambua hilo.
Maandiko yanasema: huwezi kuchukua chakula cha watoto na kuwapa mbwa.
 
Bora amerudisha gari letu. Hakustahili kupewa, nadhani ametambua hilo.
Maandiko yanasema: huwezi kuchukua chakula cha watoto na kuwapa mbwa.

Nifafanulie mkuu,nani ni mfuga mbwa?
 
Kwa nini waliyapokea hapo kabla?

Hivi ni dhambi kupokea kitu then ukarudisha ? Mbona hata ndoa zinafungwa na watu wakishindwana wanaachana mkuu iweje kurudisha gari inakushangaza?
 
Bora amerudisha gari letu. Hakustahili kupewa, nadhani ametambua hilo.
Maandiko yanasema: huwezi kuchukua chakula cha watoto na kuwapa mbwa.

Wewe usitumie hiyo roho ya Kifisadi ku-abuse NENO la Mungu.Hivi hapa nani watoto kati ya CC-Magamba na CHADEMA?.
 
Nasikia na Kikwete nae anarudisha ndege ili apunguze safari na posho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…