Shamsa Mwangunga, Batilda Burhan, Mwantum Mahiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamsa Mwangunga, Batilda Burhan, Mwantum Mahiza

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kivumah, May 24, 2011.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...Wanajamvi najiuliza hawa Wanasiasa kina Mama(Wabeijing) waliokuwepo Madarakani kama Mawaziri ktk Nusu ya kwanza ya Uongozi wa JK wamepotelea wapi sa hivi na wanajihusisha na nini la kumuondolea Mtanzania wa Leo Umasikini??

  Shamsha Mwangunga - Former Waziri wa Maliasili na Utalii
  Dr. Batilda Burhan - Former Waziri wa Mazingira, ofisi ya VP
  Mwantum Mahiza - Former Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi
   
 2. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Wapo tu hamna jipya wana imani JK hatawasahau kwenye RC au balozini wanakesha wakiomba..
   
 3. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Dr Batlida burian anasubiri kuwa balozi wa TZ, wengine labda Ukuu wa mikoa
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  afadahli wao
  yule zabain muhita sijui mmmh kenda wapi?
   
 5. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Zabeni Mhita kwa sasa ni mbunge Kondoa kaskazini. Pia fungua thread ya LIYUMBA BALAA utakuta jina lake na la binti yake kataka list ya wanawake wanaotajwa kufaidika na "misaada" aliyokuwa anamwaga huyu bwana.
   
Loading...