a45
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 1,325
- 1,403
Tuko wengiUzi nimeusoma mwanzo mwisho. Nimegundua mimi ni wa msituni hata kijijini pana nafuu, yani kuna watu wanajua usajiri wa raia wote na mishe zao hapa mjini lakini mimi sijui kitu
Tuko wengiUzi nimeusoma mwanzo mwisho. Nimegundua mimi ni wa msituni hata kijijini pana nafuu, yani kuna watu wanajua usajiri wa raia wote na mishe zao hapa mjini lakini mimi sijui kitu
hivi mtama mchungu naye amekamatwa???Ukiangalia sana Shamim alivaa koti la Blogger, Oriflame director, Nsembo huyu anajulikana maana yale maeneo ya magomeni Kagera karibu wotemazungu ukianzia Chonji, nyuma ya mtaa alikuwako Tikotiko , Nsembo ofisi ya Logistics and Transportation alipanga kwa chonji nadhani iko kama Front tuu lakini core business ni mapodas. Mbele ya mtaa kuna Idd Azan, Babu mtama mchungu.
Halafu hata Mbezi beach walipokuwa wanaishi mitaa hiyo ma don tupu wa mapoda. Babu, Khafidh, Nsembo, Saad hawa watu huwa wanapenda kujenga maeneo yanayokaribiana.View attachment 1087951View attachment 1087952
abdul ashatoka??Hyo ilikuwa zamani....sahv ukiwa chata ukiisha unakaa ndani hata miaka 10
Kuna mshikaji mmja smbdy mapunda mtoto wa upanga alisoma tambaza
Alikamatwa port na kg 2 kameza tangia aishe yuko jela miaka Karibia 10 na bdo kuhukumiwa
Kuna wauzaji kama wakina h.halil tangu akamatwe yuko ndani miaka miwili
List ni ndefu kuitaja
Ukifanyia biashara ya Unga mwisho wake siku zote ni mmbaya,utafungwa,utauliwa,utakufa,utaingia kwenye Uteja
Hakuna muuza madawa aliyedumu milele
Kwenye game Ona wakina Escobar,elchapo,yule boss wa Los zetas licha ya kutengeneza fedha nyingi lkn wameingia
Pabaya
Ona bongo wakina shkuba,wakina kiboko etc
Ndy washapotea.....system ikikuchoka inauangamiza
Kikubwa ni kuachana nayo biashara hii
Kuna muuzaji mmoja ila aliachana na mmbo hya yeye alikua mitaa ya sinza anaitwa Y
yeye alijikita kwenye biashara ya transportation na alinunua ma crusher ya kusaga kokoto muda mwingi yuko lugoba
Hii biashara ukijifanya unaifanya utafikiria imesajiliwa mwisho utapotea mwenyewe
Ova
Huyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipataPesa ni ngumu kuipata lakini muda mwingine kujilipua sio mbaya shida ni mazingira polesana shamim aka zeze
Huyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu
Ova
Bado hajatoka segerea?Yule kaka alitofautiana sana na Shamim, kaka alikua cool mno Shamim anapenda wakaka walio kwenye spot light.
Mshkaji sio pesa alkua hana bali alkua nazo kiasi pia shamim naeza sema ndio almfanya Jamaa asipasue mbuga sana za pesa ila shamim angekumbuka fadhila kuanzia kutunzwa na jamaa kupelekwa chuo hata ile ofisi yake pale sinza enzi zile ila ndo hvyo namuonea Iman Sana mwanae wa kwanza japo naamini yupo mikono salama sana tena sana ila ndo hvyoHuyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu
Ova
Atatoka lini? Maana akikutwa hatiano jela yake SI ya kitotoHuyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu
Ova
Huyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu
Ova
Majuzi ilikua hukumu yao...sijui imeighairishwa
Yule kaka alitofautiana sana na Shamim, kaka alikua cool mno Shamim anapenda wakaka walio kwenye spot light.
Tena watu cool Wana mambo mengi,unakuta jamaa ni cool+ HB+ pesa kidogo ipo,unyamaa sanaDada ndoa zina mengi. Baada ya kuwa na familia..nimejifunza mengi sana kwenye hii taasisi adhimu. So huwezi jua Shamim na huyo mme wake "cool" nani alikuwa ameishikilia hiyo ndoa
Anyway kwa upande mwingine uko sahihi. Ndoa nyingi mjini zinaparaganyika kwa sababu ya uwezo na vipato. Ndo ukweli mchungu.
inawezekana mzigo mwingine uko tayari kwa pusha!!Halafu kwa nini hawa wanaokamatwa wanakutwa na kiasi cha Grams 300/400 tu?
Watu mnafuatilia maisha ya watu. Binafsi hata jirani sijui maisha yake yakoje, wameachana ameoa au anachepuka sina habari. Nilishawahi kumwita mke wa mtu kwa jina la mumewe wa zamani kumbe walishaachana kitambo na ameolewa na huyu aliyenaye. Ikawa so.Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.
Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Hizo simu zilitumikaje? Matumizi huenda yakaleta ushahidi wa kuhusika na madawa ya kulevya.Hivi ukiwa na simu tano, kadi za benki na paspoti ni kosa la kukamatwa!