Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Ukiangalia sana Shamim alivaa koti la Blogger, Oriflame director, Nsembo huyu anajulikana maana yale maeneo ya magomeni Kagera karibu wotemazungu ukianzia Chonji, nyuma ya mtaa alikuwako Tikotiko , Nsembo ofisi ya Logistics and Transportation alipanga kwa chonji nadhani iko kama Front tuu lakini core business ni mapodas. Mbele ya mtaa kuna Idd Azan, Babu mtama mchungu.

Halafu hata Mbezi beach walipokuwa wanaishi mitaa hiyo ma don tupu wa mapoda. Babu, Khafidh, Nsembo, Saad hawa watu huwa wanapenda kujenga maeneo yanayokaribiana.View attachment 1087951View attachment 1087952
hivi mtama mchungu naye amekamatwa???
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hyo ilikuwa zamani....sahv ukiwa chata ukiisha unakaa ndani hata miaka 10
Kuna mshikaji mmja smbdy mapunda mtoto wa upanga alisoma tambaza
Alikamatwa port na kg 2 kameza tangia aishe yuko jela miaka Karibia 10 na bdo kuhukumiwa
Kuna wauzaji kama wakina h.halil tangu akamatwe yuko ndani miaka miwili
List ni ndefu kuitaja
Ukifanyia biashara ya Unga mwisho wake siku zote ni mmbaya,utafungwa,utauliwa,utakufa,utaingia kwenye Uteja
Hakuna muuza madawa aliyedumu milele
Kwenye game Ona wakina Escobar,elchapo,yule boss wa Los zetas licha ya kutengeneza fedha nyingi lkn wameingia
Pabaya
Ona bongo wakina shkuba,wakina kiboko etc
Ndy washapotea.....system ikikuchoka inauangamiza
Kikubwa ni kuachana nayo biashara hii
Kuna muuzaji mmoja ila aliachana na mmbo hya yeye alikua mitaa ya sinza anaitwa Y
yeye alijikita kwenye biashara ya transportation na alinunua ma crusher ya kusaga kokoto muda mwingi yuko lugoba
Hii biashara ukijifanya unaifanya utafikiria imesajiliwa mwisho utapotea mwenyewe

Ova
abdul ashatoka??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu

Ova
Mshkaji sio pesa alkua hana bali alkua nazo kiasi pia shamim naeza sema ndio almfanya Jamaa asipasue mbuga sana za pesa ila shamim angekumbuka fadhila kuanzia kutunzwa na jamaa kupelekwa chuo hata ile ofisi yake pale sinza enzi zile ila ndo hvyo namuonea Iman Sana mwanae wa kwanza japo naamini yupo mikono salama sana tena sana ila ndo hvyo
 
Huyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu

Ova

Jana nimekumbuka nikasema nitakuuliza hukumu yao imeendaje best?
 
Yule kaka alitofautiana sana na Shamim, kaka alikua cool mno Shamim anapenda wakaka walio kwenye spot light.


Dada ndoa zina mengi. Baada ya kuwa na familia..nimejifunza mengi sana kwenye hii taasisi adhimu. So huwezi jua Shamim na huyo mme wake "cool" nani alikuwa ameishikilia hiyo ndoa :)

Anyway kwa upande mwingine uko sahihi. Ndoa nyingi mjini zinaparaganyika kwa sababu ya uwezo na vipato. Ndo ukweli mchungu.
 
Dada ndoa zina mengi. Baada ya kuwa na familia..nimejifunza mengi sana kwenye hii taasisi adhimu. So huwezi jua Shamim na huyo mme wake "cool" nani alikuwa ameishikilia hiyo ndoa :)

Anyway kwa upande mwingine uko sahihi. Ndoa nyingi mjini zinaparaganyika kwa sababu ya uwezo na vipato. Ndo ukweli mchungu.
Tena watu cool Wana mambo mengi,unakuta jamaa ni cool+ HB+ pesa kidogo ipo,unyamaa sana
 
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.

Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Watu mnafuatilia maisha ya watu. Binafsi hata jirani sijui maisha yake yakoje, wameachana ameoa au anachepuka sina habari. Nilishawahi kumwita mke wa mtu kwa jina la mumewe wa zamani kumbe walishaachana kitambo na ameolewa na huyu aliyenaye. Ikawa so.
 
Back
Top Bottom