Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

billduke

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
847
1,000
yaaaa mkuu huku kuna muuza viatu vya mtumba lakin nae anatembelea brevis haraf kwa mbele yake kulikuwa na punda mmoja mnyakyusa jina uswe.... kazi yake ilikuwa anakula ma juma lokole wote wa kinondoni kuna siku tumemuotea analipalamia li mchicha mwiba kwenye ukuta wa msanii alieimba "Sioi leo sioi kesho wala mtondogoo molali niliyonayo sasa siwez kubali kuibiwa "

Ingawa huyo msanii aliishi mitaa ile ila alikuwa ni mtu anaejitambua sana ndo mana mpaka leo ana pesa yake halali anasukuma discover yake fresh na asaiv shabiki mkubwa wa mpira na alikuwa na adabu akipita maskani lazma ashushe kioo cha Mark X yake asalimie wana aendelee na safari zake....Mungu amuongeze

Falsafa....ila mkuu naye huyu miaka nyuma kuna kipindi kulikuwa na tetesi zile trip za kwa malikia wakati wanasoma walikuwa wanabeba..huyo jamaa mwenye mzigo yupo Coventry sasa hivi kapata stroke anaumwa dah maisha haya.
 
lordchimkwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
1,427
2,000
Kodi 0 yani mzigo unaingia after tax
Tatizo hela yake tamu sana. Imagine unaingiza zaidi ya million 100 kila mwaka, unadhani utawaza tena kuwa na biashara ya kuchonga miwa ama kuuza juice? Mwenzio kilaini tu hakosi laki 3 ya kuchezea kila siku!
 
Alkam Alkam

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
426
500
Na alikua anampenda sana huyu jamaa ingawa alikua anaishia nje,me alikua jirani yangu enzi hizo sema,nilikua namuelewa alikua hana maringo tofauti na kadogo kake kakike jina kapuni kalikua na nyodoooooo
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.

Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,541
2,000
Falsafa....ila mkuu naye huyu miaka nyuma kuna kipindi kulikuwa na tetesi zile trip za kwa malikia wakati wanasoma walikuwa wanabeba..huyo jamaa mwenye mzigo yupo Coventry sasa hivi kapata stroke anaumwa dah maisha haya.
Inawezekana sema mimi nilimsifu kwa tabia zake mana hakuwa na mishe mishe za wale machizi waliomzunguka ila aliishi nao poa sana mpaka wahuni wa kino walikuwa wanamsifia,sometimes unaweza kuta anapita hata mbali pale ground wanaposhinda wakina Athumani Chuji karibu na vijana lakin akiona wana anashuka anawapiga hi anatembea zake
 
billduke

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
847
1,000
Inawezekana sema mimi nilimsifu kwa tabia zake mana hakuwa na mishe mishe za wale machizi waliomzunguka ila aliishi nao poa sana mpaka wahuni wa kino walikuwa wanamsifia,sometimes unaweza kuta anapita hata mbali pale ground wanaposhinda wakina Athumani Chuji karibu na vijana lakin akiona wana anashuka anawapiga hi anatembea zake

Huo ndio uzuri wa kuishi na wana...hata kukudhuru hawawezi.
 
nduza

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
997
1,000
Usilolijua ni usiku mnene
Kwa drug dealer kukamatwa ni sehemu tu ya kazi hakuna kilichoharibika hapo yani no stress
Hao jamaa hawawezi kudumu kizuizini hata miezi mitatu
Na kinachowacost ni hicho kiumaarufu tu
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
54,454

Hyo ilikuwa zamani....sahv ukiwa chata ukiisha unakaa ndani hata miaka 10
Kuna mshikaji mmja smbdy mapunda mtoto wa upanga alisoma tambaza
Alikamatwa port na kg 2 kameza tangia aishe yuko jela miaka Karibia 10 na bdo kuhukumiwa
Kuna wauzaji kama wakina h.halil tangu akamatwe yuko ndani miaka miwili
List ni ndefu kuitaja
Ukifanyia biashara ya Unga mwisho wake siku zote ni mmbaya,utafungwa,utauliwa,utakufa,utaingia kwenye Uteja
Hakuna muuza madawa aliyedumu milele
Kwenye game Ona wakina Escobar,elchapo,yule boss wa Los zetas licha ya kutengeneza fedha nyingi lkn wameingia
Pabaya
Ona bongo wakina shkuba,wakina kiboko etc
Ndy washapotea.....system ikikuchoka inauangamiza
Kikubwa ni kuachana nayo biashara hii
Kuna muuzaji mmoja ila aliachana na mmbo hya yeye alikua mitaa ya sinza anaitwa Y
yeye alijikita kwenye biashara ya transportation na alinunua ma crusher ya kusaga kokoto muda mwingi yuko lugoba
Hii biashara ukijifanya unaifanya utafikiria imesajiliwa mwisho utapotea mwenyewe

Ova
 
Ni sawa na huwa ni kama siku tu zimefika ila muuza ngada kung'ooka na kumwaga ni ishu ya kawaida sana
Kukosa pia wafuatiliaji wakuwatoa ila watu wanataka hela
Wajomba wanatangaza dau huna hela au unaionea uchungu lazima uende tu
 
Siyo kila siku system ikatayo kulinda itakuwepo!
Ndomana hata ile ambush aliyopigwa chonchi magomeni kipindi kile
Polisi magomeni na obay,urafiki hawakujua na hawakuwa na taarifa nn knaendelea pale
Mambo ya mfumo huo.....

Ova
 
MI10

Member
Sep 30, 2013
31
95
Siyo kila siku system ikatayo kulinda itakuwepo!
Ndomana hata ile ambush aliyopigwa chonchi magomeni kipindi kile
Polisi magomeni na obay,urafiki hawakujua na hawakuwa na taarifa nn knaendelea pale
Mambo ya mfumo huo.....

Ova
Yes biashara ya ngada mwisho wake ni mbaya, Chonji,Tikotiko a.k.a Rasta walipigwa ambush ya maana ambayo huwezi kusepa. Kwa Tikotiko ilikuwa ukipita pale nyumbani kwake Popo...., utakuta maDCM ya kutosha yamepark na ndinga za maana zipo ndani ya Fence ya nyumba yake.
 
Arien

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
11,029
2,000
Hyo ilikuwa zamani....sahv ukiwa chata ukiisha unakaa ndani hata miaka 10
Kuna mshikaji mmja smbdy mapunda mtoto wa upanga alisoma tambaza
Alikamatwa port na kg 2 kameza tangia aishe yuko jela miaka Karibia 10 na bdo kuhukumiwa
Kuna wauzaji kama wakina h.halil tangu akamatwe yuko ndani miaka miwili
List ni ndefu kuitaja
Ukifanyia biashara ya Unga mwisho wake siku zote ni mmbaya,utafungwa,utauliwa,utakufa,utaingia kwenye Uteja
Hakuna muuza madawa aliyedumu milele
Kwenye game Ona wakina Escobar,elchapo,yule boss wa Los zetas licha ya kutengeneza fedha nyingi lkn wameingia
Pabaya
Ona bongo wakina shkuba,wakina kiboko etc
Ndy washapotea.....system ikikuchoka inauangamiza
Kikubwa ni kuachana nayo biashara hii
Kuna muuzaji mmoja ila aliachana na mmbo hya yeye alikua mitaa ya sinza anaitwa Y
yeye alijikita kwenye biashara ya transportation na alinunua ma crusher ya kusaga kokoto muda mwingi yuko lugoba
Hii biashara ukijifanya unaifanya utafikiria imesajiliwa mwisho utapotea mwenyewe

Ova
umemaliza!
 
Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
365
250
Yes biashara ya ngada mwisho wake ni mbaya, Chonji,Tikotiko a.k.a Rasta walipigwa ambush ya maana ambayo huwezi kusepa. Kwa Tikotiko ilikuwa ukipita pale nyumbani kwake Popo...., utakuta maDCM ya kutosha yamepark na ndinga za maana zipo ndani ya Fence ya nyumba yake.
Hii ndio ile nyumba ipo barabara ya kuelekea sinza ukitokea kanisan magomen?
 
Mamy K

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
459
1,000
Yes biashara ya ngada mwisho wake ni mbaya, Chonji,Tikotiko a.k.a Rasta walipigwa ambush ya maana ambayo huwezi kusepa. Kwa Tikotiko ilikuwa ukipita pale nyumbani kwake Popo...., utakuta maDCM ya kutosha yamepark na ndinga za maana zipo ndani ya Fence ya nyumba yake.
Nyumba yake ndo ile pale barabarani mkono wa kushoto? Maana kuna nyumba ilikuwa inapaki magari ya maana tu
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
54,454
2,000
Yes biashara ya ngada mwisho wake ni mbaya, Chonji,Tikotiko a.k.a Rasta walipigwa ambush ya maana ambayo huwezi kusepa. Kwa Tikotiko ilikuwa ukipita pale nyumbani kwake Popo...., utakuta maDCM ya kutosha yamepark na ndinga za maana zipo ndani ya Fence ya nyumba yake.
Pale kwa tiko nmechkua sana vifusi si alikuwa anagawa bure
Ndani kulikuwa knafanyika ujenzi wa maana
Kuna siku nlienda nkamkuta foreman nkamdodosa ....jioni tukagongana kwenye mtungi alinionesha picha za ndani ilikuwa ni balaaa ....maana ule mjengo ukiuchek kwa nje utadharau ingia a ndani
Ila yule jamaa tiko nlimuona mjinga kwann ujenzi ule asingenda fanya mbweni au ununio

Ova
 
nsanzu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
3,900
2,000
Yes biashara ya ngada mwisho wake ni mbaya, Chonji,Tikotiko a.k.a Rasta walipigwa ambush ya maana ambayo huwezi kusepa. Kwa Tikotiko ilikuwa ukipita pale nyumbani kwake Popo...., utakuta maDCM ya kutosha yamepark na ndinga za maana zipo ndani ya Fence ya nyumba yake.
Ndio ile nyumba gari za mjapani zilikuwa za kuhesabu kabla hujatokezea Hospital Migo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom