Shame Shame Shame on you... Dk. Rutengwe

Kwa kweli kunakukosea hakuna binadamu ambaye yupo sawa.
Lakini jambo ambalo limenisikitisha ni huyu muheshimiwa kumfanya magufuli kama mungu.
 
Huyu Dk Rajab Rutengwe nahisi ana tatizo la kisaikolojia
Kutokana na mfumo wa malezi na makuzi mtaa wa lumumba. Mzee wa Mtera aliwahi kutamka hadharani, wakati huo akiwa Makamu Mwenyekiti, kuwa ukitaka mambo yako yakunyookee jiunge nao. Ukiwa huko ni ndio mzee, ama sivyo hutoki....wafwa wafwa kiakili. Wasomi waonagushi amri ya mahakama, wanaong'ang'ania wajumbe feki, mbinu chafu katika chaguzi bado wako debe zima lumumba.
 
Wakati Rais anazungumzia sababu za kuachwa kwa baadhi ya wakuu wa mikoa, alimsema mkuu wa mkoa wa Morogoro kuwa pamoja na uwepo wake lakini wakulima na
wafugaji bado wanauana! Nadhani hali hii ndiyo iliyopelekea naye ajitetee kwa namna hiyo alikuwa accused hadharani na mkuu wa nchi.
 
Kutokana na mfumo wa malezi na makuzi mtaa wa lumumba. Mzee wa Mtera aliwahi kutamka hadharani, wakati huo akiwa Makamu Mwenyekiti, kuwa ukitaka mambo yako yakunyookee jiunge nao. Ukiwa huko ni ndio mzee, ama sivyo hutoki....wafwa wafwa kiakili. Wasomi waonagushi amri ya mahakama, wanaong'ang'ania wajumbe feki, mbinu chafu katika chaguzi bado wako debe zima lumumba.




Upo sahihi kiongozi,na ulichokisema kinathibitishwa na Uzi huu ulioletwa na chavichavi wa Lumumba.


Vijana wasomi jiungeni CCM kuna fursa nyingi
 
...wanafiki wa aina yako ndio mmejaa Tanzania,hebu andika wewe unaejua...kwa taarifa yako sijali wanafiki km wewe,naandika lugha yoyote hata kirangi bora ujumbe ufike.!
huna Elimu ya juu.


swissme
 
Mwananchi Newspaper said:
Akizungumza huku akiwa shambani kwake Bagamoyo, Dk Rutengwe alisema, “Yaani kama ungeniona hapa shambani usingeamini, nipo katika bustani kubwa nalima nyanya, pilipili, bamia na mbogamboga. Pia nina kitalu cha miembe na asubuhi (jana) nilikuwa nalisha mifugo.

Alisema kwa sasa hafikirii tena kuajiriwa na kusisitiza kuwa anataka kujikita kwenye kilimo kwani hiyo ndiyo taaluma yake.

Kwa elimu yake, ni bora JPM angemteua kuwa "Bwana Shamba" wa kijiji husika maana nchi ingefaidika na uwekezaji kwenye kumsomesha... hopeless!!
 
...on the other hand,this is the reason why most of the elders wants to die in their offices,we got a very very long way to go..!!

Your absolutely right!! Usione watu wanajifanya wanahimiza watu wajiajiri, watoe kwenye ajira hutaamini kama waliwahi kufanya kazi kwenye maisha yao ndani ya miezi michache tu. Hao unakuta ni wale wanaojigamba kuwa na elimu kubwa. Sasa unajiuliza kama msomi analia hivyo yule ambaye hajasoma inakuwaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom