Shame Shame Shame on you... Dk. Rutengwe

Shame Shame Shame on you... Dk. Rutengwe

anayekiri mbele za watu kwa kugundua madhaifu yake ndie anafaa kuwa kiongozi! kwa sababu ni rahisi kwake kupokea ushauri wa wananchi. msimtukane bila sababu. suala la kuuana wakulima na wafugaji, yeye kama yeye angefanyaje. angeita polisi wakawapige mabomu wote au? ??? toeni ushauri badala ya kutupa lawama.
Wewe nawe unatetea utumbo mtupu! Ina maana hakuwa na mbinu zozote za kulishughulikia tatizo la wakulima na wafugaji? Wacha akatwe labda atatia akili kichwani? Morogoro imejaaliwa kuwa na vyuo vikuu vingi alishindwa nini kuwatumia maprofesa wa SUA angalau wamshauri namna ya kushughulika na migogoro ya wakulima na wafugaji? Unafikri hata wangemwandalia machapisho tu ya namna ya kuondoa migogoro Magufuli angemwacha? Kwa kifupi ni huyo jamaa yako ni bonge la mburura!
 
no,ni kilaza!
Viöngozi wa ccm ni wanafki na walamba miguu kwa kuwa hawana jinsi ya kuishi nje ya unafiki wao,ndio maana kwa ukilaza wao,hata awe na phd mia,akili iko vile vile...hawana ubunifu wa kimaisha,zaidi ya kusubiri kulipwa mwisho wa mwezi!
Well said
 
Hawa ni watu wabovu waliokuwa wanabebwa na kikwete . nadhan sasa mnaona tunaposema kuna watu wabovu walibebwa tu na mfumo. hata ndugu zake wamekimbia wameshindwa kumtetea maana ameweka wazi udhaifu wao mkubwa sana. Dr mzima analia lia kama Mpumbavu?
 
faiza foxy hebu njoo utuelezee huyu swaiba wa dau analia lia nini huku akitaka apewe cheo kingine..... njoo utufafanulie dada yetu huyu bwana alipata elimu dunia kisawa sawa au alitengenezewa vyuo vya hovyo hovyo huko na kubebwa na mfumo wa utawala uliopitwa Dr RAJAB..... rafiki wa Dr DAU
 
...this shameless and very foolish dr is shaming his doctorate degree......and perhaps he doesn't even own a PhD....i'm sure this idiot is among those who purchased their PhDs online...This fool has disgraced not only himself but also his family and friends...How can we differentiate him from those helpless people in streets who are daily crying for help??....No wonder we see people with their professions running for political posts...this crying baby Rutengwe hole has for sure rusted his mind....and he deserves no sympathy at all...
 
Angekuwa baba yangu halafu ashabikii kila chama kinacho zalisha wanafiki na kujikomba ningemsamehe,ila kama ni baba yangu,na mbaya zaidi anashabikia chama chakavu,aisee ningemkana
 
...this shameless and very foolish dr is shaming his doctorate degree......and perhaps he doesn't even own a PhD....i'm sure this idiot is among those who purchased their PhDs online...This fool has disgraced not only himself but also his family and friends...How can we differentiate him from those helpless people in streets who are daily crying for help??....No wonder we see people with their professions running for political posts...this crying baby Rutengwe hole has for sure rusted his mind....and he deserves no sympathy at all...
he is a disgrace to himself,his family and all the intellectuals
 
I haven't seen this happening in my lifetime. Believe it or not, it is a shame on the entire PhD class to have Dk. Rutengwe crying like a baby. Undermining his qualifications that he has no basic foundation to stand on after being fired by Magufuli. RC is a political title, you were not hired on merit, that is an outcome of nepotism and mediocre people. You are fired because of incompetency and lack of demonstrating leadership skills especially in solving problems.

A PhD holder saying "nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana" as if you own an Insurance with that office. Where were you when livestock keepers vs farmers in Morogoro were killing each other? Kikwete had offered you a job... Magufuli has taken it. Use your education to employ yourself and if you don't have ideas with your PhD, then I wonder whether your qualifications are real. How did you obtain your PhD? Who wrote your PhD dissertation? Or was it written by somebody else, or did you pay somebody to conduct a research on your behalf? Shame on you and shut up...

Disabled people are crying, ordinary folks doubt, Bachelor holders are discouraged, Master's holders are dissappointed and yet PhD holders are crying? For what reason? This suggests our education is simply nothing and it does not prepare Tanzanians to employ themselves. I once said, quality and excellency in Tanzanian education are dead and buried. Dk. Rutengwe proved this...
You are simply a sycophant.
by the way PHD ya Rutengwe ni ya South Africa
.....
 
he is a disgrace to himself,his family and all the intellectuals
...exactly.....shame on him....this useless fellow doesn't deserve any sympathy...and nobody should even think about employing him...because he has proved to be worthless with his PhD....I also hope JPM will forget about him for good...
 
I haven't seen this happening in my lifetime. Believe it or not, it is a shame on the entire PhD class to have Dk. Rutengwe crying like a baby. Undermining his qualifications that he has no basic foundation to stand on after being fired by Magufuli. RC is a political title, you were not hired on merit, that is an outcome of nepotism and mediocre people. You are fired because of incompetency and lack of demonstrating leadership skills especially in solving problems.

A PhD holder saying "nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana" as if you own an Insurance with that office. Where were you when livestock keepers vs farmers in Morogoro were killing each other? Kikwete had offered you a job... Magufuli has taken it. Use your education to employ yourself and if you don't have ideas with your PhD, then I wonder whether your qualifications are real. How did you obtain your PhD? Who wrote your PhD dissertation? Or was it written by somebody else, or did you pay somebody to conduct a research on your behalf? Shame on you and shut up...

Disabled people are crying, ordinary folks doubt, Bachelor holders are discouraged, Master's holders are dissappointed and yet PhD holders are crying? For what reason? This suggests our education is simply nothing and it does not prepare Tanzanians to employ themselves. I once said, quality and excellency in Tanzanian education are dead and buried. Dk. Rutengwe proved this...
You are simply a sycophant.

Kuna chavi chavi mmoja alitundika Uzi hapa jukwaani kuwa Chadema na CUF hawana wanachama wasomi,kama wasomi wa ccm ni aina hii ya Alhaj,Aldaktuur,Almaalim,Almujitahid Rajab Ibn Rutengwe,bora Chadema na CUF wasiwe nao kabisa.
 
Rutengwe Kathibitisha Kuwa Siasa Ni Ajira Kama Zingine
 
Mleta mada,wewe ni mtanzania kwa asili? Maana jina lako la pili(bukuru) linatupa mashaka sisi watu wa usalama ila mada yako iko poa.
 
Mods unganisha huu uzi na ule wa awali. Tumeishamzungumza vya kutosha Dr Rute! Pia huu uzi unatia kichefuchefu na vimalkia vibofubofu!
 
Rutengwe asitengwe aombewe ajitenge kutoka serikalini ajitegemee .....nimekosa mimi mara ooh Yona alimezwa na samaki sasa wewe Rutengwe umemezwa
 
1459084902888.jpg

I doubt on Rutengwe's education!

Keep away from scholars
 
Back
Top Bottom