Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Usalama????!!!!Mleta mada,wewe ni mtanzania kwa asili? Maana jina lako la pili(bukuru) linatupa mashaka sisi watu wa usalama ila mada yako iko poa.
Usalama????!!!!Mleta mada,wewe ni mtanzania kwa asili? Maana jina lako la pili(bukuru) linatupa mashaka sisi watu wa usalama ila mada yako iko poa.
Ndio,joshua bukuru kama anabisha nimtumbue jipu sasa hivi.Usalama????!!!!
Kutokana na mfumo wa malezi na makuzi mtaa wa lumumba. Mzee wa Mtera aliwahi kutamka hadharani, wakati huo akiwa Makamu Mwenyekiti, kuwa ukitaka mambo yako yakunyookee jiunge nao. Ukiwa huko ni ndio mzee, ama sivyo hutoki....wafwa wafwa kiakili. Wasomi waonagushi amri ya mahakama, wanaong'ang'ania wajumbe feki, mbinu chafu katika chaguzi bado wako debe zima lumumba.Huyu Dk Rajab Rutengwe nahisi ana tatizo la kisaikolojia
Kutokana na mfumo wa malezi na makuzi mtaa wa lumumba. Mzee wa Mtera aliwahi kutamka hadharani, wakati huo akiwa Makamu Mwenyekiti, kuwa ukitaka mambo yako yakunyookee jiunge nao. Ukiwa huko ni ndio mzee, ama sivyo hutoki....wafwa wafwa kiakili. Wasomi waonagushi amri ya mahakama, wanaong'ang'ania wajumbe feki, mbinu chafu katika chaguzi bado wako debe zima lumumba.
huna Elimu ya juu....wanafiki wa aina yako ndio mmejaa Tanzania,hebu andika wewe unaejua...kwa taarifa yako sijali wanafiki km wewe,naandika lugha yoyote hata kirangi bora ujumbe ufike.!
jamaa ni mdogo wake (magu)lugha ya malikia.Wewe si umesoma international school , unacholalamika ni nini ? Sasa
Mwananchi Newspaper said:Akizungumza huku akiwa shambani kwake Bagamoyo, Dk Rutengwe alisema, “Yaani kama ungeniona hapa shambani usingeamini, nipo katika bustani kubwa nalima nyanya, pilipili, bamia na mbogamboga. Pia nina kitalu cha miembe na asubuhi (jana) nilikuwa nalisha mifugo.”
Alisema kwa sasa hafikirii tena kuajiriwa na kusisitiza kuwa anataka kujikita kwenye kilimo kwani hiyo ndiyo taaluma yake.
...on the other hand,this is the reason why most of the elders wants to die in their offices,we got a very very long way to go..!!
Ajira ngumu mkuu, na kujiajiri pia ni kipajiNimewaza na nikatafakari, Hivi kweli ni kwa ajili ya kazi tu? Ndio ajidhalilishe vile, Kwa umri wake achilia mbali elimu? HAPANA KUNA UWEZEKANO LIPO JINGINE. Yule alitakiwa sasa hivi awe anashikiliwa na TAKUKURU nashangaa sijasikia anahojiwa. Pale ofisi ya mkuu wa mkoa alikuwa anafanya biashara gani? Ni shughuli gani ambayo anahisi asipokuwa mteule wa Rais hawezi kuifanya? KWA ILE SPEECH ZIPO SABABU NYINGI ZAKUHOJIWA.