Shambulio la shule Nigeria: Mamia ya wavulana waliotekwa 'waachiwa huru'

Afrika bado sana. Ina maana serikali ya nigeria, umoja wa kijeshi wa Afrika Magharibi, na umoja wa africa wote wameshindwa kupambana na kuwadhibiti hao boko haram? Inashangaza sana.
inamaana Iraq,Syria na umoja wa dola za kiislam umeshindwa kupambana na ISIS na Al qaeda?
Inasikitisha sana
 
Si umeona hapa umejaribu kutumia bongo lako lililolala.
Itawezekanaje kikundi hicho kishindikane miaka yote kwa nguvu ya nchi zote hizo.Lazima iwe ni mchezo wa kuigiza.
 
kwanini Iran,Iraq Na uturuki wasiwasambaratishe ISIS?
 
Swali zuri hilo linaloungana na hoja yako iliyopita. Jibu ni kuwa hakuna ISIS halisi. Ukijaribu kupambana na upepo hutaushinda.
Angalia juzi hapa Armenia ilivyopigwa na Azerbajan na vita vikaisha ndani ya mwezi mmoja.
 
na atakayesema mtume alikuwa "mweusi" na auwawe
 
Namuonea wivu Aboubakar Shekau atapata Mabikira wengi sana kule Akhera kama Quran inavyomuahidi

Wabillah Tawfiq,
 
Hivi Nigeria imeshindwa Kufanya mazungumzo na hao Boko Haram ili mambo yaishe..!!!...
 
hawatakiwi kufanya mazungumzo na ma gaidi, wanatakiwa kuwatokomeza (jambo ambalo wanashindwa). majeshi ya nchi za wenzetu ni hovyo sana hasa 1.mozambique 2. Nigeria na congo
yani unakuta kwenye jeshi kuna migogoro ya kimaslahi ndani humo
 
Back
Top Bottom