Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,290
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
 
Kwani Askari wa FFU waliokuwa lindoni Area D siku ya tukio, wakaruhusu gari litoke la washambuliaji litoke getini licha ya kusikia milio ya risasi nyingi wamehijwa?

Kwani rekodi CCTV camera zilizoko kwenye jengo hilo zimeshapelekwa polisi kwa uchunguzi?
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Muulizeni zipo wapi CCTV footage za tukio?huyo ni chizi kama machizi wengine tu.
 
Hahaha hio ndo hoja ya kampeni kwa wanasiha na wanakinondoni ili kuwaletea maendeleo?! ama kweli chakubanga kaishiwa.. alieumizwa mwenyewe anamuamini dereva wake na hataki abugudhiwe mwishoni auziwe kesi ila hio imekua hoja kwa bwana slow slow
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Uwezo wa kuchunguza kwa kuhoji walio hai tu!. Hapo inatia shaka Bora Akae kimya ''That is a Low Thinking Capacity as Things Can Back fire''
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Ana point, kumficha dereva kunaisaidia vp ? Chadema kwenye mikakati yake ?, ahojiwe tu,
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Half ray bana....
 
hivi hakuna yeyote katika zile apartment aliye shuhudia hili tukio na kuchukua kapicha au video ya shambulio na kupost ili nguvu ya umma ifanyekazi...
 
Bado anatibiwa saikolojia! 🙂
Muulize mwenyekiti wako wa maisha bwana Mbowe atakupa majibu ya matibabu ya saikolojia ya dereva! Huenda bado printout ya majibu haijatoka
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Aisee polepole ndo anazungumza upupu huu...
Yani intelijensia ya polisi inafanya kazi na walionusurika tu?!!,.
Nawaza kwa sauti ...hivi Tundu Lissu angekatishwa uhai kuna uchunguzi wowote ungeendelea kweli?!
Halafu polepole ana uhusiano gani na polisi? Maana kusema hivyo ina maana anajua bila Dereva hawawezi kuwatambua watu wasiojulikana..
Dah ni aibu kwa nchi yetu ..
 
CCTV CAMERA IKO WAPI?NANI ANAHUSIKA NAKUFICHA CCTV CAMERA?wapi walinzi wa area d siku hyo?nani aliwatoa kwnye lindo?gari iliyofanya tukio nani mmiliki wake?polepole aje nahayo majibu watz cyo wajinga
 
Back
Top Bottom