Habari wana jf, shamba la hekari 25 linauzwa $1,000,000. Lina hati miliki ya miaka 99, na linapatikana eneo la kiparang'anda mkuranga, umbali wa klm 1 moja kutoka barabarani, umeme upo karibu na linafaa kwa shughuli yoyote ile ya uwekezaji. wasiliana nami kwa namba hizi 0688661057 au 0756572287. Tafadhali usomapo hii habari naomba umtaarifu na mwingine.