Plot4Sale Shamba linauzwa Kibaha Pwani

Arturo mateo

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
636
1,073
Shamba linauzwa, Kibaha Mlandizi Miswe ukubwa eka 55.
Chanzo cha maji huakika, kilimo kipindi chote kwa mwaka,maji ya mto ruvu na mto msumbiji.
Linafaa kwa kilimo cha mazao mengi, ulimaji wa mboga,na ufugaji Samaki.udongo mweusi,usioitaji mbolea.
Njia ya kufika kupitia bagamoyo au mlandizi.
Kutoka mlandizi zinafika km 10.kwa daladala nauli 1000..
Bei milioni moja kwa kila eka moja.
Sio pori,lote limelimwa.na lipo juu ya mto maji hayajai shambani.
Mita 150 kutoka kwenye mto
0693786080

IMG-20210609-WA0010.jpg


IMG-20210609-WA0009.jpg


IMG-20210609-WA0008.jpg
 
Duu mkuu. Aisee. Ni vile sina cash tu hapa. Kutoka mlandizi kuna barabara nzuri? Naweza kukupa mteja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom