Shamba hekari 28 linauzwa Vigwaza Kibaha

Nyang'omango

Senior Member
Nov 6, 2011
194
87
Shamba kubwa linauzwa Maeneo ya Vigwaza Kibaha(Coast) lenye Ukubwa wa Hekta 28.13

SHAMBA hilo linagusa Rami iendayo Morogoro.

SHAMBA hilo linaumeme Mkubwa wa Viwanda 33kv na Maji ya kutosha.

Linafaa kwa Viwanda au Shule na Uwekezaji Mkubwa zaidi kulingana na Mhitaji.

UNAKARIBISHWA MHITAJI
0715-011022
 
Weka bei.
 
Kwa namna ulivyolipamba hilo shamba, lazima hapo bei itakuwa ni kuanzia milioni 200 na kuendelea.
 
Muuzaji Lazima Ni Dalali Na Bei Itaruka Juu Sana Bila Hofu Atauza Kwa Dollar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom