shamba linauzwa eneo la kiluvya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shamba linauzwa eneo la kiluvya

Discussion in 'Matangazo madogo' started by elmagnifico, Aug 19, 2012.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,455
  Trophy Points: 280
  shamba linauzwa maeneo ya Kiluvya, Wilaya ya Kisarawe katika Mkoa wa Pwani. Shamba liko karibia kabisa na bonde la mto hivyo basi supply ya maji ni ya uhakika mwaka mzima.
  Lina ukubwa wa hekari 16 bei yake ni Tshs mil 65.
  Call 0717354243
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  N karibu na Tondoroni? Lina hati?
   
 3. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,550
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Vipi kama nataka heka tatu au nne tu kati ya hizo?
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  raha ya maelezo nusunusu ni kuibua maswali yasiyo na ulazima!
  inashindikana vipi mtu kuweka detail/taarif za kutosha ili mnunuzi afanye uamuzi mmoja na si kulazimishana kupiga simu na kuambiana tukutane tu hatutashindwana
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Lina hati?au pori tu
   
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,455
  Trophy Points: 280
  mkuu shamba linauzwa lote haliuzwi nusu nusu nahitajika mtaja wa kulinunua lote
   
 7. cement

  cement JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35


  hutaweza kuliuza lote mkubwa nakupa taarifa pokea hata wateja wa namna hy pengine hata bei mpk unaliuza lote waweza ambulia zaidi ya ml 100,fanya biashara kaka ww vp???
   
 8. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,455
  Trophy Points: 280
  mkubwa hiyo itakuwa ngumu kidogo mkubwa ila ngoja nione siku mbili tatu itakuwaje naweza change mawazo
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Mkuu, Tondoroni zipo Ekari 20 na kila Ekari ni shilingi Milioni 5 lakini kipimo cha chini kabisa unachoweza kununua ni Ekari 4. Ni shamba. Hati utatengeneza Mwenyewe. Kwa maelezo zaidi 0754 340606

   
Loading...