Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, nk. maana maji ya yapo mengi.
Njoo uone upange bei, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior
Njoo uone upange bei, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior