Shamba langu. Bustani ya ndoto zangu

Shamba langu. Bustani ya ndoto zangu

FB_IMG_1756274098884.jpg
 
Tuko pamoja mkuu nadhani mawazo tunafanana..Mimi kwa mwaka huu nashukuru nimehamia kwangu na MPAka sasa Nina kuku wa kienyeji 28 na jogoo chotara 4..mbwa mmoja

Kila nikienda site lazima nirudi na vikuku viwili
Tupeane uzoefu unavyoisimamia site (shamba) especially kwa mfanyakazi au kwa mtu aliyembali...
 
Katika thread zote ulizowahi kuleta. Hii kwangu ni namba moja kwa ubora.

Kwa umri wangu wa miaka kadhaa napaswa kujielekeza huku. Asante sana Mshana Jr kwa thread mujarabu
Nakuunga mkono mkuu, mimi pia hii ndiyo my dream retirement plan...na kwa kufanikisha hilo tayari shamba nimepata, ekari 3, nimejenga farm house, nimepanda miti ya matunda (maembe,machungwa, malimau, fenesi,topetope etc) na mwaka jana nimeanza kupata mavuno maana nilipata miche ya kisasa from SUA. Hata hivyo changamoto pia ni nyingi sana na kama huna moyo wa ku sticky to your dream waweza kuacha. Changamoto ya kwanza ni kupata mtu muaminifu wa kuangalia shamba especially kama uko mbali.Kingine ni fensi,mimi nilianza na ile barbed wire fensi,lakini wanapita na kuiba mazao. Kingine ni kwamba lazima ujiandae kugharamia costs zote za uendeshaji wakati unasubiri matokeo tarajiwa, hapa ndipo umuhimu wa kuwa na ajira pembeni unapokuwa wa muhimu.
 
Back
Top Bottom