dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,397
- 17,011
Lebanon kuna vurugu vurugu a KISIASA AU NACHANGANYA MAMBO[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1953654View attachment 1953656View attachment 1953655View attachment 1953657
Looks kilimo kiko vizuri maana unaona miti ilivyoapngiliwa...Lebanon hiyo,vurugu za kisiasa hutokeaga mijini tu mashambani watu wanalima kama kawaida.
hakuna peponi mkuu!APPLE si ndio tunda liloliwa kule peponi au mimi ndo sijui maandiko?
Inamaana Jamaa amepigwa[emoji2]hakuna peponi mkuu!