KUPATA VERIFICATION CODE YA APPLE.

KUPATA VERIFICATION CODE YA APPLE.

Strong ladg

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
598
Reaction score
1,492
Wakuu, nina tatizo la kupata verification code kutoka Apple, vipi kwa waliokumbana na changamoto hii wamefanyaje? Nimekwama .
 
Unasimu ulio login au ndio unaanza kujisajiri?
 
1. Kwanza inatakiwa namba ya simu uliyosajilia ICloud uwe nayo
2. Kama haijaja try another way lakini itakuuliza number gani mara nyingi wanaweka namba mbili za mwisho kwenye namba yako utaruhusu send itakuja verification code
 
Back
Top Bottom