Shamba la hekari 14 ambalo liko karibu na vyanzo vya maji LINAUZWA Laki Tatu ...

Shamba bado lipo those interested and those who called what happened to you
 
Rejea kichwa cha habari shamba lenye ukubwa wa hekari 14 LINAUZWA maeneo ya Kisaki.
Ni zuri Kwa shughuli Za umwagiliaji na unaweza kufanya KILIMO mwaka mzima,hakuna season wewe ni kufanya crop rotation mpaka unachoka
Mazao Kama UFUTA,Vitunguu,Nyanya n.k ndo mahali
Bei ni Laki Tatu Kwa heka (300000/=)View attachment 155617

Mkuu ni hilo zao limo shambani?
 
HAHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAH JF is ----ing funny
 
Rejea kichwa cha habari shamba lenye ukubwa wa hekari 14 LINAUZWA maeneo ya Kisaki.
Ni zuri Kwa shughuli Za umwagiliaji na unaweza kufanya KILIMO mwaka mzima,hakuna season wewe ni kufanya crop rotation mpaka unachoka
Mazao Kama UFUTA,Vitunguu,Nyanya n.k ndo mahali
Bei ni Laki Tatu Kwa heka (300000/=mkuu naomba namba zako 2wasiliane
0758 303090
 
Back
Top Bottom