Shamba kwa ajili ya kokoto/kifusi

Shamba kwa ajili ya kokoto/kifusi

Mikongeni

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Wapendwa wana JF,

Ninauza shamba langu lenye ukubwa wa heka moja na robo kwa ajili ya kifusi/kokoto vya kujengea barabara. Nilitaka kujenga hili eneo lakini bahati mbaya majirani zangu wamechimba na ninabakia kwenye kisiwa. Anayemjua contractor au yeyote anayeweza kuzungumza nami kuhusu eneo langu hili tafadhali anijulishe. 0755872551.

Asanteni
 
Mimi ni contractor nahitaji kifusi cha kujengea barabara huku Masagati tuwasiliane
 
Samahani sikueleza shamba lipo Gezaulole-Kigamboni. Kwa atakayependa naomba anipigie simu kwenye namba yangu niliyoiweka kwenye hili tangazo. Asanteni.
 
Mimi nipo Gezaulole, Kigamboni. Wewe upo wapi? Masagati ni sehemu gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom