HISTAMINE
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 600
- 1,430
Wapendwa hivi shalo tina tina maana yake nini?
Nimekuwa nikisikia haka ka msemo bila kufanikiwa kujua maana yake. Maeneo nilipo sikia ninapokumbuka ni kwenye baadhi ya mashairi ya nyimbo za wasanii wa kibongo mfano Ngwair (RIP), Mchizi mox, n.k
Tafadhali mwenye kujua maana au chanzo cha msemo huu anijuze.