Shaka Hamdu Shaka ataka walioisababishia Serikali hasara ya TZS 0.59BL watafutwe

Shaka ni mtu na nusu, Kazi indelee
 
Hongera sana CCM,
 
kazi iendelee
 
Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Huyajui maigizo yao mkuu, hivi unahisi kati ya shaka na PM nani mkubwa ki madaraka nchi hii? sasa huyo PM alikuta kibanda cha mlinzi wa Tanesco kimejengwa kwa mamilioni ya pesa na hakuna aliyefanywa chochote
 
Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Wewe ni Taga acha uongo
 
Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Siku hizi Nyerere mmegeuza Ni Babu yenu naona.
 
Next time acha mvua ikatike then kagua miradi itakua poa sana mheshimiwa haita kupunguzia kitu zaid kukuongezea kitu kwa jicho la watanzania wengine wasio wanasiasa
 
Kazi kazi
 
Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Huna lolote.....!
 
Huyu mbwiga yeye karudisha zile milioni 200 za Abood alizochukua wakati wa kupitisha jina lake pale Morogoro

Yaani Abood atoe 200ml ili apitishwe chamani..!??

Wewe Unamjua Abood au unamsikia juu juu tu!??

Kwa kipindi cha miaka 15 mfululizo hakuna mpinzani aliyesimama dhidi ya Abood akaambulia hata robo ya kura tu kuanzia chamani kura za maoni mpaka uchaguzi mkuu ubunge..!!
 
Huyu Shaka anatuchosha sasa, ajifunze kukaa kimya dio kila siku anapayuka, akitaka kuwachukulia hatua hao ccm wenzake mafisadi afanye kimyakimya sio kubweka kama mbwa koko aliyepotea kwao
 
Mkuu wewe unatatizo la uelewa tu

Shaka ni zaidi ya mkuu wa mkoa au Waziri
Mkuu, mbona unamtetea sana? Au kuna kitu unafaidika kutoka kwake?
Unakumbuka wakati ule wa Kinana na MAWAZIRI MIZIGO? Kuna hatua yoyote waliyoweza kuifanya dhidi yao?
Kwanza hayo maagizo anayoyatoa, YANAIDHARIRISHA SERIKALI.
 
Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…