ISRAEL JR
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 1,439
- 630
Inflation ni janga la Dunia mbona mkuuKazi zipi? Kutulimbikizia tozo na kuleta inflation?
Inflation ni janga la Dunia mbona mkuuKazi zipi? Kutulimbikizia tozo na kuleta inflation?
Kwamba huko duniani kuna wapiga dili wa sukari na mafuta?Inflation ni janga la Dunia mbona mkuu
Ukishaona mahitaji yako ni 120% huku kipato no 100% uelewe kuna tatizo mahali!Kwamba huko duniani kuna wapiga dili wa sukari na mafuta?
Corona imetibua kila kituKwamba huko duniani kuna wapiga dili wa sukari na mafuta?
Najua but inflation ni dunia nzimaUkishaona mahitaji yako ni 120% huku kipato no 100% uelewe kuna tatizo mahali!
Mbona hapa kwetu ambako haikuwepo mambo yanazidi kuwa hovyo toCorona imetibua kila kitu
Soon tutakuwa vizuri sanaMbona hapa kwetu ambako haikuwepo mambo yanazidi kuwa hovyo to
Mbona hapa kwetu ambako haikuwepo mambo yanazidi kuwa hovyo to
Shaka anafaa kuwa Rais wa Zanzibar baada ya HusseinKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara Serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo.
Akiwa katika Ziara ya Sekretarieti ya CCM-Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg Daniel Chongolo amesema mradi huo wa Katale uliopo halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ulitekelezwa chini ya kampuni ya ujenzi ya STC ambao hata hivyo hautoi maji miaka miwili tangu kukamilika kwake na kukabidhiwa.
Hakukuwa na umuhimu wala haja ya kusema wewe ni CHADEMA kama hicho unachokisema ndio unachokiamini isipokuwa kama ni uongo.Shaka Hamdu Shaka
Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake
Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa
Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
una ushhidi sheikh? by the way una uchungu sana na Abood? amedhulumu mangapi ya watanzania? mtu anayewahisha kupeleka usafiri kwenye mazishi, badala ya kusaidia ujenzi wa hosptali kuzuia vifo vinavyoweza kuzuilika hasa vya mama na Mtoto.... yupo alipo kwa maslahi yake!!!Huyu mbwiga yeye karudisha zile milioni 200 za Abood alizochukua wakati wa kupitisha jina lake pale Morogoro
Kesi yake ya Morogoro imeishia wapi. Naye arudi akajibu hoja siyo kumalizana juu kwa juuKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara Serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo.
Akiwa katika Ziara ya Sekretarieti ya CCM-Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg Daniel Chongolo amesema mradi huo wa Katale uliopo halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ulitekelezwa chini ya kampuni ya ujenzi ya STC ambao hata hivyo hautoi maji miaka miwili tangu kukamilika kwake na kukabidhiwa.
KaziindeleeKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara Serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo.