Shaka Hamdu Shaka ataka walioisababishia Serikali hasara ya TZS 0.59BL watafutwe

Hawa wanaomtaja Abood wana ajenda ya siri kisiasa.Kwa kuwa huyu jamaa maarufu sana kimbilio la wanyonge huko mji kasoro bahari,inaelekea anawajua wote.Nimewahi kumwona ni mstaarabu,mtaratibu lakini mwaminifu sana.Unaambiwa wananchi wa jimbo lake anawapokea mpaka nyumbani kwake kusikiliza shida zao mpaka usiku.Isitoshe ni mkaaji jimboni tofauti na wabunge wengi wa majimbo ambao wanaishi Dar lakini Jimbo lake lipo maelfu ya kilomita.
 
Wewe ni muongo, Shaka nimchamungu sana, acha kutafuta laana ndg
Ni vigumu kuamini kwa dhati ya moyoni kwamba CCM kuna mcha Mungu! Tena kiongozi wa juu kama Samia, Chongolo na Shaka. Afadhali ungesema Mzee Mangula aliyemtetea Membe na kifo cha sumu kikamhusu! God forbid
 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara Serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo.

Akiwa katika Ziara ya Sekretarieti ya CCM-Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg Daniel Chongolo amesema mradi huo wa Katale uliopo halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ulitekelezwa chini ya kampuni ya ujenzi ya STC ambao hata hivyo hautoi maji miaka miwili tangu kukamilika kwake na kukabidhiwa.

Watafutwe ndio
 
Ana kitu ndani yake cha kuvuka mipaka ya kazi yake, hayo mambo ya serikali yeye yanamuhusu nini? kwani serikali haina watu wake wakufanya hiyo kazi ya ufuatiliaji wa miradi yake?
Yani mkuu Wewe unakasirika nini? Ni jambo baya hilo?
Chama ndio mdhamini wa serikali, lazima kifanye kazi ya kuhakikisha serikali haivunji ile dhamana maana hasara itakuwa kwa mdhamini {Chama}
Huitaji degree ya PSPA kuelewa hilo, ni uraia darasa la 4 C
 
Yaani Abood atoe 200ml ili apitishwe chamani..!??

Wewe Unamjua Abood au unamsikia juu juu tu!??

Kwa kipindi cha miaka 15 mfululizo hakuna mpinzani aliyesimama dhidi ya Abood akaambulia hata robo ya kura tu kuanzia chamani kura za maoni mpaka uchaguzi mkuu ubunge..!!
Hata mimi nashangaa
 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara Serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo.

Akiwa katika Ziara ya Sekretarieti ya CCM-Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg Daniel Chongolo amesema mradi huo wa Katale uliopo halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ulitekelezwa chini ya kampuni ya ujenzi ya STC ambao hata hivyo hautoi maji miaka miwili tangu kukamilika kwake na kukabidhiwa.

Hongera Sana mkubwa, Kazi iendelee, Your the voice of voiceless
 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara Serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo.

Akiwa katika Ziara ya Sekretarieti ya CCM-Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg Daniel Chongolo amesema mradi huo wa Katale uliopo halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ulitekelezwa chini ya kampuni ya ujenzi ya STC ambao hata hivyo hautoi maji miaka miwili tangu kukamilika kwake na kukabidhiwa.

KAZIIENDELEE
 
Huyu bwana anawapa shida sana CHADEMA Tz
 
Shaka kama Shaka, Kaziiendelee
 
Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Nimeelewa kabisa,
 
Back
Top Bottom