Sasa ataenda wapi na hìi coronaUsilalamike. Tumia nguvu na muda mwingi kuzisaka uepuke hizo unazoita dharau.
Sio unalalamika tu huku upo kitandani. Amka..
Hivyo we Mkuu pia hutafuti pesa kwa sasa sababu kuna Corona?Sasa ataenda wapi na hìi corona
"corona ipo tuchukue tahadhari"
HahahHivyo we Mkuu pia hutafuti pesa kwa sasa sababu kuna Corona?
Sawa dada tumekuelewa, ngoja tupambane kusaka notiSababu inasingiziwa mapenzi tuu ila maisha bila hela nayo hayaendi!
Tujitume kwa manufaa ya watoto wetu na sio mapenzi tuu!
Uko sawa mnoo.....Sababu inasingiziwa mapenzi tuu ila maisha bila hela nayo hayaendi!
Tujitume kwa manufaa ya watoto wetu na sio mapenzi tuu!