Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
Kazi kweli kweli hizi post wasisome tu wake zetu, yaani samaki mmoja akioza woote twanuka shombo ni shida
Duh mpaka kufikia kumuandikia mdada wa kazi shairi....!
Ngoja aje mkeo amwandikie houseboy...
Sina housi boi
Kwani si muwe mnawaambia ukweli hao wake zenu, wengine mnayaona mnafurahia tu ili mpate kisingizio cha kulala na hg.