Shahidi: Sabaya aliniwekea Bastola mdomoni na kichwani kutaka kuniua

Ila CCM ni balaa over all people wakaona huyu ndio anafaa kua mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya?Tena Magu angekuwepo angempa ukuu wa mkoa kabisa.
 
We mzee usikurupuke. Shemu ya ushahidi wa msangi alisema alipewa simu zake na dereva na kijana mmoja mpambe wa Sabaya asiyependezwa na kitendo alichofanyiwa wakati Sabaya ameingia hotelini na ndio alimpigia mkewe. Dereva na mpambe ndio walimwambia aitishe katika sehemu zake za siri ili wasigundulike kama wao ndio walimpa.
ushahidi wa kutunga
 
Ukisikia ushahidi wa kutunga ndiyo huo. Hebu jiulize kaswali kadogo, kitu cha kwanza mtu makini unapomkamata mtuhumiwa, unasachiwa eti simu kaweka sehemu za nyeti??? uongo mtupu, eti amepigiwa simu na mume wake, kweli watu makini wakuache na simu uanze kuwapigia simu watu ili wakamatwe au kuja kushuhudia tukio kweli inakuja kichwani??? hao watakuwa siyo askari makini wakuache na vinasa sauti na kamera. Hebu wewe mama lete kapicha ka hayo matukio. Kweli dereva wako ashindwe hata kupiga kapicha kokote? eti nikawekewa bastora mdomoni nika kaa kimya?? hapo shida ingine hapo uongo uliokubuhu.....
Wewe unamwona Sabaya na hilo genge lake ni watu wenye akili timamu?
 
Yaani msangi awe na simu sehemu za siri,amepigwa,amefungwa pingu,simu iite au apige asionekane!Bull shit!
Wewe ni mjinga. Hujafuatilia maelezo ya awali, unakimnilia kwenye conclusion.

Msangi alisema alisaidiwa na dereva ambaye aliificha simu ya Msangi, na baadaye kuitoa ili awasiliane na mkewe bila ya Sabaya kujua. Ni dereva ndiye aliyemwekea simu zake sehemu za siri wakati akielekea kwenye gari ya mkewe.
 
Mwanzoni kabla hajawa Mkuu wa Wilaya aliwahi kuwa na kesi kwa kosa la kujifanya TISS(special force),baada ya kuwa Mkuu wa Wilaya aliwahi kuonekana akimdhihaki Hayati Anna Mghwira hadharani tena,kwa matendo hayo tu nachelea kusema ana mashtaka ya kubumba ila kijana ana rekodi mbaya tena ya kihalifu na utapeli.
 
CCM iliwezaje kulilea hili jamambazi bila kujua linachokifanya huko Arusha.

Hii ni mbaya saana
 
sabaya mwaka huu ni mbaya sana kwake, iwe fundisho kwa vijana wote limbukeni, wanaobebwa na watu kurushwa kwenye madaraka halafu wakaota mapembe.
 
Ná ugaidi huyu wa KUDEMKA anauendeleza.

4B637C91-3C9A-4AB0-B16F-405DB0884CFC.jpeg

Serikali ya Magufuli ilikuwa ni Serikali ya kigaidi.
 
Inaelekea Sabaya alivuka TOR za misheni yake. Badala ya kishughulikia wapinzani na supporters wao tu yeye akaendelea kuwapiga terror viongozi wa CCM, dola na wakuu wengine wa serikali.

Haiyumkiniki kuwa Leo hii Mama SSH anapokwaruzana vikali na Mbowe, asitambue mchango wa Sabaya na kuacha aendelee “kuzikwa” na ushahidi wa kutisha huko Arusha/Hai. Inawezekana hata SSH naye alipigwa terror kiaina na Sabaya.
 
Ushahidi unafikirisha
Yaani mtu katekwa anapata wapi nafasi ya kupigia simu mkewe?
Mtu kafungwa pingu mikononi na miguuni bado anauwezo wa kupata simu na kupiga?
Hilo ungelielewa kama muendelezo wa kesi ungekuwa kwenye Uzi mmoja,

hao majambazi wa Sabaya walionyesha nia ya kumsaidia huyo jamaa toka mwanzo bila Bosi wao kujua kwahio kuna uwezekano walimwachia apige simu kiujanja na kuzirudisha mfukoni.
 
Inasikitisha, huo sio uongozi bali ni unyanyasaji, unamuita mke wa mtu malaya? Naomba sheria ichukuwe mkondo wake na aadhibiwe vikali.
 
Jamaa simjui ila shahidi kila siku zina vuma kitu nachohisi kuna uongo ndani yake, cha kwanza ni pingu, mtu ana pingu anatoaje simu, na pingu police wanafundishwa kuzifunga mgongoni, pili ni mwanamke kumtrack mwanaume, ni ngum kwa mwanamke kufanya hvyo especially kama wamekaa sana na ni ngum kwa mwanamke kujua hayo mambo, kingine ata kama anajua kamtrack na yuko hotelin, ataulizaje vijana wa maeneo ya apo nje kama wanamjua mme wake ilhali nao ni wagen, ni kama wewe uende selena uanze kuulizia wateja wa pale kama wanamjua mmeo, kingine, mtu kutoka hotelin kashika bastora, ata kama niubabe iko ni kitu rare kwa kiongozi, kingine wakati gari linatoka getin, akapiga magoti kuomba aongee na mme wke, japowanaweza kupaki pemben ila the most possible explanation ni walienda mbele kidogo nje ya geti ama apoapo gettin, sa kumtoa mme wake nje ndan ya gari ili wakaongee kwenye gari la mke wake haileti maana

Kingine pia kama mtu kafungwa mikono na miguu ina maana kaendaje kuongea na mke wake kwenye gari lake ambalo probably ni mita kadhaa kutoka waliko paki
Ningekuwa akimu, huu ushaidi ningemuhoji maswali ya ghafla huyo mwana mama ili nijue kama ametunga ama vipi

Huu ushaid unanitamanisha nijue kesi nzima ya huyu jamaa, anaejua thread ya kesi nzma ya jamaa plz anitagi, na wa mashahidi zote
 
Ndugu zangu mtu kama huyu alipataje UDC?. Kweli utawala wa Awamu ya Tano ilikuwa na kasoro.
Unaposikia analalamikiwa uelewe alikuwa na silka ya aina gani. Ndiyo maana watendaji wake wengi waligeuka kuwatishia watu badala ya kuwaongoza watu.
 
Wewe ni mjinga. Hujafuatilia maelezo ya awali, unakimnilia kwenye conclusion.

Msangi alisema alisaidiwa na dereva ambaye aliificha simu ya Msangi, na baadaye kuitoa ili awasiliane na mkewe bila ya Sabaya kujua. Ni dereva ndiye aliyemwekea simu zake sehemu za siri wakati akielekea kwenye gari ya mkewe.
Wewe huna akili ni mpumbavu hata kupambanua vitu vya kutunga hujui?Akili kama ya kuku au Prawns
 
Back
Top Bottom