wewe unayejua hebu tueleze yanga wamemnunua wapi okwi? i mean wameilipa timu gani pesa ya usajili ya okwi? then jiulize huko walikolipa okwi alikwendaje?je walikuwa na mamlaka ya kumuuza au walikuwa naye kwa mkataba wa muda mfupi? angalieni vizuri na mtafsiri wanachosema FIFA msije mkaumbuka!!!!simba walimuuza okwi et d sahel, yanga wamemnunua kutoka sprtz club villa, swali ni je ni lini eto d sahel walimuuza okwi sportz club villa hadi wapate mamlaka ya kumuuza kwa yanga?fifa wanasema pesa za simba wanazodai hazihusiani na usajili wa mchezaji, but still wameacha hewani ni nani hasa mmiliki halali wa mchezaji anayeweza kumuuza kwenda timu nyingine......mtakuja lia nyie endelezeni siasa bandidu zenu za soka fitina