Thead gani hii? anyway UKWELI NI UPI KATIKA ALICHOSEMA? sikiliza kijana; kwa maelezo yake alotoa kwenye web yake hakuna lolote la maana aloongea maana ni gossips tu. UKWELI UTAPATIKANA ENDAPO: 1. AMEMUHOJI OKWI KWA NINI HAYUKO SAHEL NA KUONA VIELELEZO VYAKE. 2. AMEHOJI SAHEL KWA NINI HAWAKO NA OKWI NA WAONYESHE VIELELEZO VYAO. 3. AMEHOJI VILLA WALIMPATAJE OKWI NA VIELELEZO. 4. AMEHOJI YANGA WALIMPATAJE NA VIELELEZO. 5. AMEHOJI TFF WANA VIELELEZO GANI. 6. AHOJI FIFA NA KUONA VIELELEZO WALIVYONAVYO NA KWA NINI WAMETOA ITC. 7. AMEHOJI SIMBA NA KUONA MIKATABA YA MAUZIANO YA OKWI NA 8. AMEHOJI WAKALA WA OKWI KATIKA MZUNGUKO WOTE TOKA SIMBA HADI YANGA. Angefanya hivi halafu akaja na conclusion. Habari yake iko hewani haitoi suluhu,anajaribu kutuletea utumbo wanaotangaza pale kwenye redio yao. bahati mbaya wakikutana na watu wa aina yako unakurupuka eti anaongea ukweli sasa tuonyeshe ukweli ni upi katika alichokisema?.....