Dauda, S. nilikuwa nammind sana katika blogu yake, nilianza kugundua taratibu kuwa huyu siye. Kwa hili sitatembelea tena blogu yake hadi nife.
Chonde chonde Mkuu! Watu huapia bamvua (sea-tide), hawaapii bahari!Dauda, S. nilikuwa nammind sana katika blogu yake, nilianza kugundua taratibu kuwa huyu siye. Kwa hili sitatembelea tena blogu yake hadi nife.
shafii dauda si mtangazaji.. Yeye Ni mchambuzi wa soka. Mtangazaji wa kipindi cha sport extra Ni bwana Luambano. Kwaiyo shafii hajakiuka taratibu yoyote hapo. Kachambua taratibu za soka zilivo.
Mimi nipo upande wa Shaffii dauda.nikiwa kama mpenzi na shabiki wa SIMBA,naona kuwa OKWI hatakiwi kucheza yanga wakati ana mkataba na warabu ambao pia bado hawajailipa simba.hii itakuwa ni mara ya kwanza mchezaji kucheza akiwa na mikataba ya timu 2 unless TUONE ANDIKO LA FIFA LIMESEMAJE ILI WOTE TUJIRIDHISHE.
Hivi Jeff Leah amehamia wapi?
Ameenda wapi huyu dogo maana huwa anajitahidi kuchambua soka la ulaya japokuwa kwa baadhi ya mechi zilichezwa yeye hajazaliwa lakini ana uwezo wa kuzisoma na kuzifanyia uchambuziTatzo la Shaffih ni mmbea sana, bora hata alivyokuwepo Jeff Leah kabla hajaondoka Radio ya Wafu
Tatzo la Shaffih ni mmbea sana, bora hata alivyokuwepo Jeff Leah kabla hajaondoka Radio ya Wafu