Aaah!mkuu achana na waandishi wa vichochoroni hawa!
soma Mwananchi la leo. Linapaticana mtandaoni.Nataka kujua FIFA wameamua vp kesi. Kila kesi ina hoja zinazobishaniwa na hivyo uamuzi hubase kwenye hoja husika.
TFF waliomba ufafanuzi gani FIFA, na FIFA wamejibu vipi. Hapa ndio twaweza jua kesi ya okwi imekwisha au bado
Habari wana JF.
Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiliza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha radio hiyo, nimeshangaa kumsikia Shaffih Dauda akilalamika sana kitendo cha Okwi kuruhusiwa kucheza Yanga, yaani nusu nzima ya kipindi analalamika tuu na ameingia na Katiba ya FIFA akinukuu baadhi ya vifungu na kupinga kwa nguvu Okwi kucheza, swali je hayo ni maadili ya utangazaji?
Ninavyojua mwandishi na mtangazaji unatakiwa kuongelea ulichopata huko kama ni TFF au uwanjani nk. Pia mtangazaji unatakiwa kuficha ushabiki wako kama kina Charles Hilally, nk, ameenigia studio kama msemaji wa Simba, maoni yangu huyu hafai Kuwa mwandishi wa michezo.
Nawasilisha.
Kaka nadhani wewe uelewa wako ndio unatia mashaka! Alichokisema shaffi ni kuwa yanga waelewe kuwa ktk sakata la okwi kuna kesi tatu na zote bado ziko pending kwa maamuzi fifa walichofanya ni kumruhusu acheze yanga ila kama yanga watamtumia kwenye mechi zao za club bingwa na wakafanikiwa kufika mbali , ikaja kubainika kuwa okwi bado ni mchezaji halali wa hiyo ya timu ya tunisia ambapo hizo kesi zake hazijaamuliwa, yanga itabidi ipokonywe point zote za michezo ambazo okwi alicheza.HAPA INA BIDI YANGA WASIKULUPUKE WAKAE CHINI WAFIKILIE KISHERIA ZAIDI NA C KISHABIKI ILI WAFANYE MAAMUZI SAHIHI.Kama kunge kusingekuwa na case nyingine hilo suala la okwi lilikuwa limekwisha.Tatizo lenu ushabiki upo mbele mno mtu akichambua jambo ki taalamu anaonekana mnazi wa upande mwingine!!! Tuache hizo.Nimemsikia huyu Kanjanja Jana kwa ufupi uwezo wake wa kufikiri na uelewa wake ni mdogo sanaaaa, anachokifanya ni kuwa threat Yanga na TFF wakati FIFA barua yao ipo clear, anafanya hivi sababu maamuzi ya FIFA yameenda kinyume na kile alicho pre empty uko nyuma kwenye makala yake sasa anaona kama kaumbuka fulani....kwa kifupi anafanya kwa msukumo wa kishabiki kama utagundua mara zote ili amekuwa analizungumzia hili akiwa na IBRAHIM MASOUD ambaye ni mtangazaji wa clouds na kiongozi wa Simba na kama utafatilia vizuri walianza na RAGE tena mwishoni RAGE akasema anapinga OKWI kucheza Yanga, mimi hapa napata shida kidogo Simba bado wana haki huhusu OKWI? hivyo basi ukiunganisha dot unagundua huu ni mpango tena kijinga unaofanywa na watu wa Simba kuanzia viongozi na wale watu wao walio TFF na watangazaji makanjanja kama SHAFFII na MAESTRO.
Halafu wakikaa studio wanajifanya wanajua sheria za soka kuliko watu wote wanashindwa kutambua wasikilizaji wao wapo ambao wanasoma vizuri hizo sheria za FIFA tena kwa jicho na uchambuzi wa kisheria, SHAFFII ni mbumbumbu wa sheria sababu sio mwanasheria.
Kaka nadhani wewe uelewa wako ndio unatia mashaka! Alichokisema shaffi ni kuwa yanga waelewe kuwa ktk sakata la okwi kuna kesi tatu na zote bado ziko pending kwa maamuzi fifa walichofanya ni kumruhusu acheze yanga ila kama yanga watamtumia kwenye mechi zao za club bingwa na wakafanikiwa kufika mbali , ikaja kubainika kuwa okwi bado ni mchezaji halali wa hiyo ya timu ya tunisia ambapo hizo kesi zake hazijaamuliwa, yanga itabidi ipokonywe point zote za michezo ambazo okwi alicheza.HAPA INA BIDI YANGA WASIKULUPUKE WAKAE CHINI WAFIKILIE KISHERIA ZAIDI NA C KISHABIKI ILI WAFANYE MAAMUZI SAHIHI.Kama kunge kusingekuwa na case nyingine hilo suala la okwi lilikuwa limekwisha.Tatizo lenu ushabiki upo mbele mno mtu akichambua jambo ki taalamu anaonekana mnazi wa upande mwingine!!! Tuache hizo.
Kaka nadhani wewe uelewa wako ndio unatia mashaka! Alichokisema shaffi ni kuwa yanga waelewe kuwa ktk sakata la okwi kuna kesi tatu na zote bado ziko pending kwa maamuzi fifa walichofanya ni kumruhusu acheze yanga ila kama yanga watamtumia kwenye mechi zao za club bingwa na wakafanikiwa kufika mbali , ikaja kubainika kuwa okwi bado ni mchezaji halali wa hiyo ya timu ya tunisia ambapo hizo kesi zake hazijaamuliwa, yanga itabidi ipokonywe point zote za michezo ambazo okwi alicheza.HAPA INA BIDI YANGA WASIKULUPUKE WAKAE CHINI WAFIKILIE KISHERIA ZAIDI NA C KISHABIKI ILI WAFANYE MAAMUZI SAHIHI.Kama kunge kusingekuwa na case nyingine hilo suala la okwi lilikuwa limekwisha.Tatizo lenu ushabiki upo mbele mno mtu akichambua jambo ki taalamu anaonekana mnazi wa upande mwingine!!! Tuache hizo.
Huko ndiko kujikanganya ambako aliye mchambuzi wa kweli kamwe hatakukaribia. FIFA au taasisi yoyote inayosimamia jambo fulani, haiwezi kuhukumu kesi moja na kuupa haki upande mmojawapo, kisha ije kugeuka kwenye kesi inayohusu pande hizohizo na kumpokonya iliyempa mwanzo kupitia kesi nyingine. Dauda mwenyewe ndiye hufanya hivyo kwenye makala zake, nadhani ili kurejesha wasomaji wake aliojibaini aliwapoteza kwenye makala iliyotangulia, kama siyo kumnahisi mfadhili mmojawapo wa timu aliyoikosoa. Kwa lugha nyepesi, huo ni Ushafiidauda ambao hauko katika medani yoyote ya utawala zaidi ya kwenye makala za Shafii Dauda.Kaka nadhani wewe uelewa wako ndio unatia mashaka! Alichokisema shaffi ni kuwa yanga waelewe kuwa ktk sakata la okwi kuna kesi tatu na zote bado ziko pending kwa maamuzi fifa walichofanya ni kumruhusu acheze yanga ila kama yanga watamtumia kwenye mechi zao za club bingwa na wakafanikiwa kufika mbali , ikaja kubainika kuwa okwi bado ni mchezaji halali wa hiyo ya timu ya tunisia ambapo hizo kesi zake hazijaamuliwa, yanga itabidi ipokonywe point zote za michezo ambazo okwi alicheza.HAPA INA BIDI YANGA WASIKULUPUKE WAKAE CHINI WAFIKILIE KISHERIA ZAIDI NA C KISHABIKI ILI WAFANYE MAAMUZI SAHIHI.Kama kunge kusingekuwa na case nyingine hilo suala la okwi lilikuwa limekwisha.Tatizo lenu ushabiki upo mbele mno mtu akichambua jambo ki taalamu anaonekana mnazi wa upande mwingine!!! Tuache hizo.
Alichokifanya Shafii ni Kizuri sana na Angalieni Yanga Msije Mkaumbuka na Kuna Hatari Yaja na Tutatafutana.
Dauda, S. nilikuwa nammind sana katika blogu yake, nilianza kugundua taratibu kuwa huyu siye. Kwa hili sitatembelea tena blogu yake hadi nife.