Shaffih Dauda awaita wana Yanga Mazuzu

Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.

Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!

Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE FUNDISHO KWAKE!
Halafu mkishasusa
 
Anatafuta kulogwa ?
 
Angalia yasikukute ya MUSIBA
 
Ili wewe ufaidike kitu gani!?
Unajua saa zingine mnaiga mambo ya hovyo kutoka kwa watu wa hovyo na kuja nayo huku. Yaani akili za kitoto kabisa.

Nini kimetokea mpaka Shafi akasema hilo neno!?
Alikua akiongea na nani!?

Yaani unataka wana Yanga tuwe na akili za ki choko kama zako!?

Eti susieni!!

Yaani watu kama wewe ni kushika na kupiga makofi tu.

Na ukumbuke hili,ukitaka mwanao wa kike akudharau,bisi mshike chuchu zake.
tupe uzoefu mkuu, ulipomshika mwanao chuchu kisanga kilikuwaje.
 
Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.

Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!

Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE FUNDISHO KWAKE!
Ni kweli ni mazuzu hilo halina ubishi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom