Shabiki aki-enjoy live Jukwaani

Shabiki aki-enjoy live Jukwaani

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
Crazy Fans.jpg

Jamaa sijui anafanya nini hapo so crazy huh!
 
Sauzi Afrika raha sana, ndo maana wananenepa! Naona wengi wametinga jezi za Kaizer Chiefs, sijui walikuwa wanakipiga na timu gani.
 
Huuuuuuuuwii jamani simfahamu mtu huyu mie, haya hii ni laana gani tena hii jamani, hii dunia sijui ikoje imagine juzi tuko Bar fulani mapema sana saa tatu hivi usiku kuna midada miwili mikubwa hio, inacheza shoo Bar iko uchi kabisaaaaaaa yaani yamejifunga kanga tu, moja ndio likacheza hadi Bumunda lote likatokea njeee
This happened during a soccer match
in South Africa Few hours back
sa1.jpg

I wonder if she "scored" that night.
More photos after the jump
sa2.jpg

sa3.jpg
 
Huyu sjamwelewa nia yake ilikuwa kuwapa kina Bujibuji mfadhaiko au kujifedhehesha mwenyewe?
 
Sauzi Afrika raha sana, ndo maana wananenepa! Naona wengi wametinga jezi za Kaizer Chiefs, sijui walikuwa wanakipiga na timu gani.

hiyo ndio umeona Raha? Hakika nawe wa ajabu. kama umeona ni raha usisubiri wakae uchi madada wa wengine ebu anza kumwambia ndugu yako wa jinsia hiyo aanze kukaa kama huyo ili nasi tanzania tuwe na raha.
 
Shuka bondeni kaka, Tanzania hakuna mambo hayo! Ndo maana nikasema Sauzi raha tupu. Kama huna jeuri hiyo tulia hapo hapo ulipo, wala usichezecheze. Unakasirika nini sasa?
 
Hapo mpira ni full kunoga, goli likifungwa uwanjani na huku nako linafungwa
 
Back
Top Bottom