Shabiby Bus boresheni huduma zenu

Shabiby Bus boresheni huduma zenu

Shabiby Bus boresheni huduma zenu haswa sehemu mnazopeleka abiria kula na kujisaidia.

Maafisa afya nao mfanye kazi zenu vizuri,abiria watakuja kupata madhara kiafya.Hembu kuweni na ofisi nzuri Arusha kama Machame Bus,

Sehemu mnazopeleka watu kula mbaya na chafu mtu unakosa alternative!Hii kero nimeiona in other threads kwanini hamjirekebishi au mmelewa sifa na jina?
Huaga najiuliza mtu nana fleet ya zaid ya bus 20 kwa siku kwa njia moja why asifungue kitu buses zake zote zikasimama hapo abiria waka hudumiwa hapo kwa malipo kama amefanya ABC pale Cate hotel Morogoro
 
Back
Top Bottom