hapa shabiby hahusiki, ni dereva nambari 1, na anapata kamishenisehemu mnazopeleka watu kula mbaya na chafu
Mabasi ya kubeba wabunge.Shabiby Bus boresheni huduma zenu haswa sehemu mnazopeleka abiria kula na kujisaidia.Maafisa afya nao mfanye kazi zenu vizuri,abiria watakuja kupata madhara kiafya.Hembu kuweni na ofisi nzuri Arusha kama Machame Bus,sehemu mnazopeleka watu kula mbaya na chafu mtu unakosa alternative!Hii kero nimeiona in other threads kwanini hamjirekebishi au mmelewa sifa na jina?
Hivi inawezekana kampuni kubwa kama hiyo dereva anajiamulia tu sehemu ya kupeleka gari ?hapa shabiby hahusiki, ni dereva nambari 1, na anapata kamisheni
InawezekanaHivi inawezekana kampuni kubwa kama hiyo dereva anajiamulia tu sehemu ya kupeleka gari ?
tena siyo dereva, dereva nambari 1 ndiyo mwenye mamlaka, anapata kamesheni huko na kula bureHivi inawezekana kampuni kubwa kama hiyo dereva anajiamulia tu sehemu ya kupeleka gari ?
Basi hapa kuna ka fursa fulani hapatena siyo dereva, dereva nambari 1 ndiyo mwenye mamlaka, anapata kamesheni huko na kula bure
Kuwatoa wapi kwenda wapiMabasi ya kubeba wabunge.
Dereva ndio Shabiby, mfanyakazi wa kampuni akivurunda ni kampuni imevurundahapa shabiby hahusiki, ni dereva nambari 1, na anapata kamisheni
Kuna sehemu nyingine zaidi ya Al-jazeera!?Labda huko kaskazini ila hichi kipande cha kati kuja kusini ana gari mpya nyingi tu na huduma bora
Yah kibadamo mafinga au cityhills Makambako...Kuna sehemu nyingine zaidi ya Al-jazeera!?
Mara ya mwisho nimepanda shabby kuelekea Kanda ya kati hili la mbinga,tulikula hapo Al JazeeraYah kibadamo mafinga au cityhills Makambako...
aljazeera ni route ndefu ndio wanaishi pale...
kama unatoka kanda ya kati huwez kula aljazeera pale unapita mapema mbona...
Hapo nakubali kama uliishia centrozone sawa....Mara ya mwisho nimepanda shabby kuelekea Kanda ya kati hili la mbinga,tulikula hapo Al Jazeera