kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 10,709
- 13,153
Una miaka 50+, una mke na watoto..,bado una uwezo wa kuvinjari jamiiforum.., wewe ni tajiri haswa..,kwa mtu hoehae katika miaka hiyo uliyonayo anakuwa katika mapambano akiangaika Ili apate angalau mlo wa familia,Wala mambo ya jamiiforums hawezi kuyafikiria,Mkuu kuingia jf ndo utajiri?,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app